Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

DKT. NCHEMBA AONGOZA MKUTANO WA WB KANDA YA AFRIKA

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akiongoza mkutano wa Benki ya Dunia wa Jukwaa la Tatu la Kanda ya Afrika Kundi la Kwanza kwa nchi za Kipato cha Kati lililolenga kujadili namna mashirika ya fedha ya kimataifa yanavyoweza kuongeza fedha kuzisaidia nchi za kipato cha kati kufikia maendeleo endelevu ya kiuchumi na kijamii. Mkutao huo umefanyika kwa njia

John Bukuku By John Bukuku

ZMBF YASHAJIHISHA HEDHI SALAMA KWA WANAFUNZI WAKIKE SHULENI 

PEMBA, 29 MARCH 2024 MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Taasisi ya "Zanzibar Maisha Bora Foundation, Mama Mariam Mwinyi ameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuandaa muongozo wa kutoa elimu ya hedhi Salama kwenye skuli zote za  Msingi na Sekondari za Unguja na Pemba. Mama Mariam aliyasema hayo kwenye hafla ya ugawaji wa taula za kike

John Bukuku By John Bukuku

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI IBADA YA IJUMAA KUU DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameungana na waumini mbalimbali kushiriki Ibada ya Ijumaa Kuu katika Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege mkoani Dodoma Tarehe 29 Machi 2024.

John Bukuku By John Bukuku

MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR-AN AFRIKA MASHARIKI KUFANYIA KESHO NEW AMAAN COMPELEX ZANZIBAR

Mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya kuhifadhi Qur-an kutoka Ofisi ya mufti Shekh Mziwanda Ngwali Ahmed akitoa taarifa ya mashindano hayo  yatakayofanyika kesho April 30 katika viwanja vya N¹ew Amaan Complex ............. Na Rahma Khamis Maelezo   Zaidi ya nchi saba zitashiriki katika mashindano ya kuhifadhi Qurani Afrika mashariki hapo kesho  yatakayofanika viwanja vya New Amani Compelex ikiwemo Mwenyeji Zanzibar. Akitoa taarifa kwa waandishi

John Bukuku By John Bukuku

WAWILI WAFARIKI DUNIA NA WATATU WAJERUHIWA AJALI ILIYOHUSISHA GARI LA MASHABIKI WA SIMBA

Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Watu wawili wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari mawili kugongana Machi 29 ,asubuhi huko Vigwaza Mizani, Wilaya ya kipolisi Chalinze, Mkoa wa Pwani. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani Pius Lutumo, amethibitisha kuwa,basi dogo la abiria lenye namba za usajiri T125 EAP aina ya Toyota kosta likitokea Mbeya kwenda Dar es salaam likiwa

John Bukuku By John Bukuku

MBUNGE AWAFARIJI WAZEE NA WAGONJWA 

Na Takdir Ali. Maelezo.  29/03/2024. Mbunge wa viti Maalum Mkoa wa Magharibi Mhe. Tauhida Galos Nyimbo amesema Wazee wanakabiliwa na Changamoto mbalimbali ikiwemo maradhi na ugumu wa maisha hivyo wanahitaji kusaidiwa ili wasijihisi kuwa wametengwa na jamii. Akizungumza katika ziara ya kutembelea Wazee na Wagonjwa kwa Majimbo ya Wilaya ya Mfenesini  kichama amesema Wazee hao  wametoa mchango mkubwa katika mustakbali

John Bukuku By John Bukuku

VIONGOZI WA DINI WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA MAFANIKIO MAKUBWA NDANI YA MIAKA  MITATU.

Shekhe Iddi Ngela ambaye  ni Kiongozi wa dini Arusha akizungumza na waandishi wa habari mkoani Arusha.  Shekhe Haruna Hussein akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha  Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakiwa katika kikao hicho na viongozi  wa dini ............ Happy Lazaro, Arusha Baadhi ya viongozi wa dini mkoani Arusha wamempongeza Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ,Dk

John Bukuku By John Bukuku

JAFO AZITEMEA CHECHE HALMASHAURI NCHINI KWA UCHAFU AKIZINDUA MRADI WA TWIGA WA KIJANI

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais,Muungano na Mazingira, Dkt.Selemani Jafo akipanda mti pamoja na wanafunzi wa Shule ya Msingi Jeshini,Manispaa ya Ilemela,  leo alipozindua Mradi wa Twiga wa Kijani wa kupanda miti 6,000 katika shule za 60 za mikoa sita ya Tanzania Bara. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Ndege (ATCL), Mhandisi Ladislaus Matindi,wanafunzi wa shule ya Msingi Jeshini katika Manispaa

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara