Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

DK. MAXMILIAN: FANYENI TAFIKI HATA NJE YA TANZANIA KUJIFUNZA TABIA ZA MATAIFA MENGINE

Mwandishi wetu, Iringa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Maxmilian Chuhula amewataka wasomi wa vyuo vikuu kutoogopa kufanya tafiti nje ya nchi ili mbali ya kuongeza maarifa, wazijue tabia za watu wengine kwenye mataifa yao. Dk Chuhula ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Historia Tanzania, amesema hayo wakati wa uzinduzi wa kitabu kinachohusu matarajio ya utengamo

John Bukuku By John Bukuku

SERIKALI IMEWEKA KIPAUMBELE MRADI WA UCHIMBAJI DHAHABU NYANZAGA – MAHIMBALI

*Asema Rais. Samia anafuatilia maendeleo ya Mradi huo kwa karibu. Katibu Mkuu Wizara ya Madini Kheri Mahimbali, amekutana na kuzungumza na Ujumbe wa Kampuni ya Perseus kutoka nchini Australia ukiongozwa na Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo Bw. Jaffer Quartamaine. Mazungumzo hayo yamefanyika baada ya Ujumbe huo kukutana na Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde Ofisini kwake Jijini Dodoma leo Aprili

John Bukuku By John Bukuku

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJJ DK.HUEEIN MWINYI AMEFUNGUA MASJID AL ABRAAR TAZARI NA KUJUMUIKA KATIKA IBADA YA SALA YA IJUMAA LEO 19-4-2024.

MUONEKANO wa Masjid Al Abraar Tazari Wilaya ya Kaskazini “A” Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofunguliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi, na kujumuika na Wananchi wa Kijiji cha Tazari katika Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 19-4-2024 katika Masjid hiyo.(Picha na Ikulu) SHEHA wa Shehia ya Tazari Wilaya ya Kaskazini

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI MKUU AMTAKIA HERI YA KUMBUKUMBU YA SIKU YA KUZALIWA MZEE MALECELA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela zawadi ya kikombe  alipokwenda nyumbani kwa Mheshimiwa Malecela eneo la Uzunguni jijini Dodoma kumtakia heri   ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa , Aprili 19, 2024. Katikati ni mke wa Mzee Malecela Ambaye pia ni Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim

John Bukuku By John Bukuku

NMB Pesa AKAUNTI YAWAVUTIA WAKAGUZI WA NDANI AFRIKA JIJINI ARUSHA

Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB, Benedicto Baragomwa (kushoto), akizungumza na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, Happiness Laizer pembezoni mwa Mkutano wa 10 wa Shirikisho la Taasisi za Wakaguzi wa Ndani Afrika (AFIIA) uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC). Katikati ni Meneja Mahusiano Huduma za Serikali wa NMB Kanda ya Kaskazini, Peter

John Bukuku By John Bukuku

BALOZI NCHIMBI: MIAKA 3 YA RAIS SAMIA, KAMA MIUJIZA

*Asisitiza uadilifu na uwajibikaji kwa mali za umma *Apongeza Serikali Njombe mrejesho kwa wananchi, chama kwa usimamizi Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, amesema kazi kubwa iliyofanywa na Serikali, chini ya uongozi wa Rais Dk Samia Suluhu Hassan, ndani ya miaka mitatu, ni nyezo inayobeba ukweli wa kutosha kusambaratisha uongo unaoenezwa na baadhi ya

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI MKUU AFUNGA MAONESHO YA WIKI YA NISHATI 2024

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza wakati wa Maonesho ya Wiki ya Nishati Jijini Dodoma, ...... Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amefunga Maonesho ya Wiki ya Nishati katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma kutoa maagizo kwa Wizara ya Nishati na Taasisi zake kuendelea kuboresha maonesho hayo na utoaji wa huduma kwa wananchi. Mhe. Majaliwa ameitaka Wizara ya Nishati kuweka

Alex Sonna By Alex Sonna

DKT.DIMWA : ARIDHISHWA NA MAFANIKIO SEKTA YA MICHEZO ZANZIBAR.

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa,akizungumza na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) Suleiman Mahmoud Jabir(kulia), mara baada ya kuwasili katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar. NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa,akiwa ameshika jezi za Zanzibar  Heroes alizopewa zawadi na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Zanzibar (ZFF) Suleiman

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA JIJINI ISTANBUL UTURUKI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara na Wawekezaji katika Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki lililofanyika Jijini Istanbul tarehe 19 Aprili,

John Bukuku By John Bukuku

BUNGE LAPITISHA TRILIONI 10.25 ZA OFISI YA RAIS TAMISEMI

OR- TAMISEMI BUNGE limeidhinisha matumizi ya Shilingi trilioni 10.125 kwa ajili ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI, sekretarieti za mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa na Taasisi zake kwa mwaka 2024/25

John Bukuku By John Bukuku