Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

RAIS SAMIA APOKEA RIPOTI ZA CAG NA TAKUKURU

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/23 kutoka kwa Bw. Charles Kichere Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 28 Machi, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Taarifa ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na

John Bukuku By John Bukuku

PURA YAPONGEZWA KWA USIMAMIZI WA MIRADI YA CSR

Mjiolojia Desmond Risso akizungumza jambo na Diwani wa Kata ya Songo Songo Mhe. Hassan Swalehe Yusuph alipomwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa PURA katika ziara ya hivi karibuni ya wataalamu wa PURA na wadau wa habari kutembelea Miradi ya Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) inayotekelezwa kisiwani Songosongo. Meneja Operesheni wa Kampuni ya PanAfrican Energy Tanzania (PAET) Bw. Peter Sololo akitoa maelezo ya kiufundi

John Bukuku By John Bukuku

TUKIIMARISHA UBORA WA HUDUMA ZA AFYA YA MAMA NA MTOTO TUTAPUNGUZA VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI

Na. WAF - Dar Es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Afya inaendelea kuimarisha ubora wa huduma za Afya ya mama na mtoto katika vituo 25 vinavyotoa huduma ya upasuaji wa dharura wa kumtoa mtoto tumboni (CEmONC) katika Mkoa wa Dar Es Salaam ili kupunguza vifo vitokanavyo na Uzazi. Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema hayo leo Machi 28, 2024

John Bukuku By John Bukuku

WAJUMBE WA KAMATI YA PIC WATEMBELEA KITUO KIKUU CHA MABASI MSAMVU

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji Mitaji ya Umma (PIC), wakitembelea Kituo Kikuu cha Mabasi Msamvu mkoani Morogoro Machi 27, 2024. Kituo hicho ni mradi unaoendeshwa kwa ubia Kati ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) unaomiliki asilimia 74% na Halmashauri ya Manispaaya Morogoro asilimia 26% Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge

John Bukuku By John Bukuku

SERIKALI ZA TANZANIA NA HUNGARY ZAINGIA MKATABA WA USHIRIKIANO SEKTA YA MAJI

NA SOPHIA KINGIMALI. Serikali ya Tanzania na Hungary wamesaini mkataba wa ushirikiano katika sekta ya maji kwa sababu nchi hiyo inaongoza duniani kwa kudhibiti mafuriko maji safi na maji taka hivyo kupata ujuzi wa teknolojia Huku Pia nchi hiyo inatarajia kufanya uwekezaji wa Kiwanda cha kutengeneza ndege ndogo Mkoani Morogoro. Akizungumza leo Machi 28 jijini Dar es Salaam baada ya

John Bukuku By John Bukuku

UWT IMEDHAMIRIA KUTEKELEZA ADHMA YA RAIS SAMIA YA KUMTUA MWANAMKE KUNI KICHWANI

Na Sophia Kingimali. Umoja wa wanawake nchini(UWT) umedhamiria kwa vitendo kutekeleza dhamira ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ya kumtua kuni mwanamke kichwani kwa kuhakikisha inazalisha nishati mbadala kwa ajili ya kupikia. Hayo yamesemwa leo March 28,2024 Jijini Dar es Salaam na Katibu Mkuu wa UWT Joketi Mwegelo wakati akipokea ugeni wa wawekezaji kutoka china katika jimbo la Changzho walioletwa

John Bukuku By John Bukuku

TANZANIA YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA NISHATI.

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesihi wawekezaji kutoka Mataifa mbalimbali (USA) kuwekeza katika sekta ya nishati nchini ikiwemo eneo la nishati safi ya kupikia, nishati jadidifu pamoja na gesi ili kuendelea kuchochea maendeleo katika nyanja tofauti tofauti. Kauli hiyo imetolewa Machi 27, 2024 katika Ofisi Ndogo ya Wizara iliyopo jijini Dar es

John Bukuku By John Bukuku

RAIS SAMIA KUWAONGOZA WATANZANIA KWENYE IBADA MAALUM YA KUMBUKIZI YA MIAKA 40 YA HAYATI EDWARD SOKOINE

 MSEMAJI  wa familia ya Hayati Sokoine Bw. Lembris Kipuyo,akizungumza  na waandishi wa habari leo Machi 28,2024 jijini Dodoma kuhusu kumbukizi ya miaka 40 ya Hayati Edward Moringe Sokoine, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, itakayofanyika Aprili 12, 2024, katika Kijiji cha Enguik, Monduli Juu mkoani Arusha. Na.Alex Sonna-DODOMA RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu

Alex Sonna By Alex Sonna
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

RAIS SAMIA APOKEA RIPOTI ZA CAG NA TAKUKURU

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/23 kutoka kwa Bw. Charles

John Bukuku By John Bukuku

AFISA MTENDAJI WA KIJIJI HATIANI KWA UBADHIRIFU

Mahakama ya Wilaya ya Mbulu imemhukumu MELKIADI ZAKARIA TLEHEMA aliyekuwa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Hayloto kata ya Nambris, Wilaya ya Mbulu Mkoa wa Manyara. Mshtakiwa ametiwa hatiani kwa makosa

John Bukuku By John Bukuku