Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa taarifa ya Serikali bungeni kuhusu changamoto za hali ya hewa nchini na kujibu maswali Bungeni jijini Dodoma, Aprili 25, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Alex Sonna By Alex Sonna

DKT.DIMWA : ANENA JUU YA MUUNGANO

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa, akizungumza katika moja ya Mkutano wa CCM Zanzibar. NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR. NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt. Mohamed Said Dimwa, amesema chama hicho kinaridhishwa na juhudi za Serikali zote mbili katika kuimarisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Alisema muungano huo unaendelea kuvunja rekodi ya kudumu kwa miaka

Alex Sonna By Alex Sonna

ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA VINASABA DUNIANI

Rahma Khamis Maelezo Zanzibar      Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui amewataka Mawakala wa Maabara ya Serikali kuendelea kuwa waaminifu na waadilifu katika kazi zao za kiuchunguzi wa matatizo ili wananchi waamini majibu yanayotolewa na taasisi hiyo.  Wito huo ameutoa katika Ukumbi wa Shekh Idriss Abdul-wakil Kikwajuni katika uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya Vinasaba Duniani. Amesema

Alex Sonna By Alex Sonna

ARUSHA KUPIMWA MOYO

Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Odilia Njau na Benson Bisare wakiwapima wananchi shinikizo la damu walipotembelea banda la Taasisi hiyo lililopo katika maonesho ya kimataifa ya usalama mahala pa kazi yanayofanyika katika viwanja vya General tire vilivyopo jijini Arusha. Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dickson Minja akimwelezea huduma

Alex Sonna By Alex Sonna

RAIS SAMIA AIPA TANROADS BIL 66 KUANZA UREJESHAJI MIUNDOMBINU YA BARABARA ILIYOHARIBIKA

Na Mathias Canal Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa Bilioni 66 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu ya barabara zilizoharibika nchini. Fedha hizo tayari zimegawanywa kwa mameneja wa TANROADS mikoa yote iliyoathirika kwa ajili ya kufanya kazi kwa haraka usiku na mchana ili kurekebisha kadhia zilizozikumbumba barabara kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha

Alex Sonna By Alex Sonna

WAKUTANA KUJADILI UIMARISHAJI MIFUMO DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA

Shirika lisilo la kiserikali la DSW Tanzania linalojishughulisha na afya na maendeleo ya vijana kwa kushirikiana na Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum wametoa mafunzo ya kuimarisha mifumo ya kuzuia ukatili wa kijinsia mkoani Mbeya. Mafunzo hayo ya siku mbili yanatolewa katika kikao kazi kinachofanyika kwenye ukumbi wa Meya uliopo jengo la Halmashauri ya Jiji la

John Bukuku By John Bukuku

MIAKA 60 YA MUUNGANO: TUNAUHITAJI ZAIDI MUUNGANO KULIKO UNAVYOTUHITAJI

Na Dk. Reubeni Lumbagala, Kongwa, Dodoma KESHO kutwa Aprili 26, 2024 inatimia miaka 60 tangu Tanganyika na Zanzibar ziungane na kuunda Jamhuri Muungano wa Tanzania. Kwa hakika tuna kila sababu ya kujivunia muungano huu ambapo umedumu kwa miaka miaka 60 sasa. Kwa sheria za kazi na utumishi wa umma, mtu mwenye umri wa miaka 60 anapaswa kustaafu kazi. Hivyo miaka

John Bukuku By John Bukuku

FAMILIA PANDE ZOTE HAZITAKI TUOANE

Jina langu Lulu kutokea Mara nchini Tanzania, nakumbuka wakati tunataka kufunga ndoa, upande wa baba wa mume wangu walikuwa wanamzuia asioe wakisema bado mapema kwake. Ilikuwa hekaheka nyingi mpaka wakakubari kwa wazee aliolala usingizi wa milele, walishtakiwa jambo hilo kuwa mjukuu wao hawasikilizi kabisa. Sasa ikatangazwa ndoa, upande wa baba kutoka kwangu nao wakawa hawataki wakasema kama ni hivyo watasusa,

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

SERIKALI: YAZITAKA TAASISI ZA FEDHA ZA KUTOA MIKOPO KUFUATA UTARATIBU

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) akijibu swali bungeni jijini Dodoma la Mheshimiwa Felista Deogratius Njau, Mbunge Viti Maalum aliyetaka kufahamu hatua zinazochukuliwa na Serikali kwa Taasisi

John Bukuku By John Bukuku

KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA AWAPONGEZA WAFANYAKAZI WA WIZARA HIYO NA TAASISI ZAKE

Na Sophia Kingimali. KATIBU Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Natu Mwamba amewapongeza wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Taasisi zake kwa kujisimamia vyema katika utekelezaji wa majukumu kwa kufuata miongozo

John Bukuku By John Bukuku