Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

PROF. IKINGURA AONGOZA KIKAO CHA 18 BODI YA GST

Na Mwandishi wetu Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Jiolojia ya Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Prof. Justinian Ikingura amekiongoza Kikao cha kawaida cha 18 cha Bodi hiyo kwa ajili ya kupitia taarifa ya utekelezaji wa Taasisi hiyo kwa kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2023/24. Bodi hiyo imefanya Kikao hicho leo Aprili 24, 2024 katika ukumbi

John Bukuku By John Bukuku

SERIKALI KUJENGA MAABARA YA KISASA YA UPIMAJI WA SAMPULI ZA MADINI NCHINI.

*Waziri Mavunde aitaka GST kuwa sehemu ya kwanza ya taarifa sahihi za maabara *Maabara kuwekwa vifaa na mitambo ya kisasa *Watumishi GST kujengewa uwezo zaidi *Maabara za Kanda kujengwa ili kusogeza huduma karibu kwa wachimbaji Waziri wa Madini Mhe.Anthony Mavunde amesema kuwa serikali chini ya uongozi wa Mh Rais Dkt. Samia Suluh Hassan imejipanga katika mwaka wa fedha 2024/25 kuanza

John Bukuku By John Bukuku

MKUTANO MKUU WA ALAT 2024; WAZIRI MCHENGERWA ATEMBELEA BANDA LA PSSSF

ZANZIBAR MFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma umeshiriki kwenye Mkutano Mkuu wa 38 wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa Tanzania (ALAT) uliofanyika jijini  Zanzibar na kupata fursa ya kuelimisha kupitia maonesho na uwasilishaji wa mada kwa wajumbe wa mkutano Mkuu. Mkutano huo muhimu hujumuisha Wenyeviti wa Mikoa na Halmashauri zote nchini, Wakurugenzi wa Halmashauri na Manispaa zote

John Bukuku By John Bukuku

RC TANGA ATOA NENO KWA WANUNUZI WA ZAO LA MWANI

  Mkuu wa Mkoa wa Tanga akizungumza wakati wa ziara ya kutembelea wakulima wa zao hilo katika Mtaa wa Sahare Kijijini Kata ya Mzingani Jijini Tanga ambao pia alizungumza na wakulima wa zao hilo kwenye wilaya za Tanga,Mkinga ,Muheza na Pangani ikiwa ni kuelekea Shamrashamra za kuelekea miaka 60 ya Muungano.   MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian

Alex Sonna By Alex Sonna

WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa taarifa ya Serikali bungeni kuhusu changamoto za hali ya hewa nchini na kujibu maswali Bungeni jijini Dodoma, Aprili 25, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Alex Sonna By Alex Sonna

DKT.DIMWA : ANENA JUU YA MUUNGANO

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa, akizungumza katika moja ya Mkutano wa CCM Zanzibar. NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR. NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt. Mohamed Said Dimwa, amesema chama hicho kinaridhishwa na juhudi za Serikali zote mbili katika kuimarisha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Alisema muungano huo unaendelea kuvunja rekodi ya kudumu kwa miaka

Alex Sonna By Alex Sonna

ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA VINASABA DUNIANI

Rahma Khamis Maelezo Zanzibar      Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui amewataka Mawakala wa Maabara ya Serikali kuendelea kuwa waaminifu na waadilifu katika kazi zao za kiuchunguzi wa matatizo ili wananchi waamini majibu yanayotolewa na taasisi hiyo.  Wito huo ameutoa katika Ukumbi wa Shekh Idriss Abdul-wakil Kikwajuni katika uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya Vinasaba Duniani. Amesema

Alex Sonna By Alex Sonna

ARUSHA KUPIMWA MOYO

Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Odilia Njau na Benson Bisare wakiwapima wananchi shinikizo la damu walipotembelea banda la Taasisi hiyo lililopo katika maonesho ya kimataifa ya usalama mahala pa kazi yanayofanyika katika viwanja vya General tire vilivyopo jijini Arusha. Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dickson Minja akimwelezea huduma

Alex Sonna By Alex Sonna
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

SERIKALI: YAZITAKA TAASISI ZA FEDHA ZA KUTOA MIKOPO KUFUATA UTARATIBU

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) akijibu swali bungeni jijini Dodoma la Mheshimiwa Felista Deogratius Njau, Mbunge Viti Maalum aliyetaka kufahamu hatua zinazochukuliwa na Serikali kwa Taasisi

John Bukuku By John Bukuku

KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA AWAPONGEZA WAFANYAKAZI WA WIZARA HIYO NA TAASISI ZAKE

Na Sophia Kingimali. KATIBU Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Natu Mwamba amewapongeza wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Taasisi zake kwa kujisimamia vyema katika utekelezaji wa majukumu kwa kufuata miongozo

John Bukuku By John Bukuku