Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

KATIBU MKUU, CCM AWAPONGEZA MABALOZI WAKIKAMILISHA WARSHA YA SIKU 4 KIBAHA

Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewatembelea Mabalozi wa Tanzania wanaoshiriki warsha ya siku 4 ambayo imekamilika mjini Kibaha leo Aprili 24, 2024 kwa kufikia makubaliano mbalimbali ambayo yanalenga kuipaisha diplomasia ya Tanzania duniani. Dkt. Nchimbi aliwapongeza Mabalozi hao kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kuitangaza nchi na kuchangia kwa kiasi kikubwa ongezeko la biashara, uwekezaji na utalii nchini.

John Bukuku By John Bukuku

SERIKALI: YAZITAKA TAASISI ZA FEDHA ZA KUTOA MIKOPO KUFUATA UTARATIBU

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) akijibu swali bungeni jijini Dodoma la Mheshimiwa Felista Deogratius Njau, Mbunge Viti Maalum aliyetaka kufahamu hatua zinazochukuliwa na Serikali kwa Taasisi za Fedha zinatoa mikopo yenye riba kubwa kinyume na muongozo wa BoT. .......................,  Na. Josephine Majura, WF, Dodoma Serikali imesema kuwa inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kisera, kiutawala na kisheria ili

John Bukuku By John Bukuku

WELEDI NA UAMINIFU WAIBUA MFANYAKAZI HODARI OFISI YA RAIS-UTUMISHI

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi akizungumza na watumishi wa ofisi yake wakati wa kikao kazi chake na watumishi wa ofisi hiyo kilicholenga kuzungumzia masuala ya kiutumishi na kuchagua Mfanyakazi Hodari kwa mwaka 2024 kilichofanyika katika ofisi hiyo iliyopo Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma. Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Rais-UTUMISHI wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi (hayupo pichani) wakati akizungumza

John Bukuku By John Bukuku

PROFESA MKENDA AWATAKA WALIMU KUPOKEA WANAFUNZI WANAOTOKA KWENYE MAENEO YA MAFURIKO ILI KUENDELEA NA MASOMO

Na Sophia Kingimali. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Profesa Adolf Mkenda ametoa rai kwa walimu wakuu nchini kupokea watoto wanaopelekwa kwenye shule zao wanaotoka kwenye majanga ya mafuriko ili kuendelea na masomo huku taratibu zingine zikiwa zinaendelea. Hayo amezungumza leo Aprili 24,2024 jijini Dar es salaam wakati akizungumza na waandishi wa habari amesema kufuatia mvua kubwa zinazoendelea

John Bukuku By John Bukuku

TASAF YATUMIA RUZUKU YA BILIONI 800 TANZANIA BARA NA VISIWANI KWA AJILI YA WALENGWA WA KAYA MASIKINI

Mkurugenzi wa Miradi – Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Bw. John Steven. …………………. Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika kipindi cha awamu ya pili ya utekelezaji iliyoanza mwaka 2020 umefanikiwa kutoa ruzuku ya zaidi ya shilingi bilioni 800 Tanzania bara na visiwani na kufanikiwa kuimarisha kiuchumi wa kaya maskini katika kuhakikisha wanapiga hatua katika maendeleo. Akizungumza leo Aprili

John Bukuku By John Bukuku

UZINDUZI WA KITABU CHA MIAKA 60 YA HISTORIA YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS PAMOJA NA KITABU CHA SAFARI ZA PICHA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akitoa maelezo kuhusu kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais kabla ya kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma Aprili 24, 2024. Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu

John Bukuku By John Bukuku

KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA AWAPONGEZA WAFANYAKAZI WA WIZARA HIYO NA TAASISI ZAKE

Na Sophia Kingimali. KATIBU Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Natu Mwamba amewapongeza wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Taasisi zake kwa kujisimamia vyema katika utekelezaji wa majukumu kwa kufuata miongozo ya Serikali na kuwataka kuendelea kuzingatia sheria, kanuni, taratibu na miiko ya utumishi wa Umma pamoja na kuwa wabunifu katika kazi zao na kujali usalama wa afya zao kwa kufanya

John Bukuku By John Bukuku

MANJALE AENDELEA KUWEZESHA LUNINGA KWENYE VIJIWE VYA KAHAWA.

Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Geita,wamemshukuru Mwenyekiti wa umoja wa vijana wa Chama cha mapinduzi(UVCCM) Mkoa wa Geita ,Manjale Magambo kwa Kuwezesha wa Runinga (TV) ambazo zitawasaidia kufuatilia matukio mbalimbali zikiwemo shughuli za kimaendeleo zinazofanywa na serikali pamoja na kufuatilia Bunge la Bajeti ambalo linaendelea Jijini Dodoma. Hatua hiyo ni mwendelezo wa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Geita kuwezesha

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

SERIKALI: YAZITAKA TAASISI ZA FEDHA ZA KUTOA MIKOPO KUFUATA UTARATIBU

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) akijibu swali bungeni jijini Dodoma la Mheshimiwa Felista Deogratius Njau, Mbunge Viti Maalum aliyetaka kufahamu hatua zinazochukuliwa na Serikali kwa Taasisi

John Bukuku By John Bukuku

KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA AWAPONGEZA WAFANYAKAZI WA WIZARA HIYO NA TAASISI ZAKE

Na Sophia Kingimali. KATIBU Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Natu Mwamba amewapongeza wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Taasisi zake kwa kujisimamia vyema katika utekelezaji wa majukumu kwa kufuata miongozo

John Bukuku By John Bukuku