Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

MVUTANO VYAMA VYA WAFANYAKAZI KIKWAZO VIKAO BARAZA LA WAFANYAKAZI WIZARA YA ARDHI

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bi. Lucy Kabyemera akiongea na Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara yake leo Manispaa Morogoro. Sehemu ya Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakifuatilia jambo wakati wa Kikao cha Baraza la Wafanyakazi mapema leo Manispaa ya Morogoro. Sehemu ya Wajumbe

John Bukuku By John Bukuku

KATIBU MKUU CCM ASHIKIRI KIKAO CHA KAMATI YA SIASA MKOA WA NJOMBE

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi, akiwa kwenye Kikao cha Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya Mkoa wa Njombe, kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya CCM Mkoa wa Njombe, Njombe Mjini, kabla ya kuelekea kwenye Mkutano Mkuu Maalum wa Mkoa wa Njombe, leo asubuhi, Aprili 19, 2024. Dk Nchimbi, akiambatana na

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI JAFO:SERIKALI INAWAENZI WAASISI WA MUUNGANO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema Serikali imetunga Sheria Maalum No. 18 ya mwaka 2004, mahsusi kwa ajili ya waasisi hao wa Muungano. Amesema hayo wakati akijibu swali la Mbunge kutoka Baraza la Wawakilishi Mhe. Suleiman Haroub Suleiman aliyetaka kujua mpango ya Serikali katika kuwaenzi na kuwatunza waasisi wa Muungano.

Alex Sonna By Alex Sonna

WAZIRI JAFO AELEZEA FURSA ZA BIASHARA YA KABONI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amesema kuna fursa kubwa ambayo Tanzania itanufaika katika biashara ya kaboni.  Amesema hayo bungeni jijini Dodoma leo Aprili 19, 2024 wakati akijibu swali la Mbunge wa Mbeya Vijijini Mhe. Oran Manase Njeza aliyetaka kufahamu kama kuna fursa na changamoto gani kwa Tanzania kushiriki kwenye biashara

Alex Sonna By Alex Sonna

MAKAMU WA RAIS AWATAKA VIJANA KUONGEZA JUHUDI ZA KUPATA UFAHAMU KUHUSU HISTORIA YA NCHI YAO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mahojiano maalum na Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Gabriel Zakaria kuhusu Miaka 60 ya Muungano, mazungumzo yaliyofanyika katika Makazi ya Makamu wa Rais Jijini Dodoma tarehe 19 Aprili 2024. .................... Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito watanzania

John Bukuku By John Bukuku

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA JIJINI ISTANBUL UTURUKI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara na Wawekezaji katika Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki lililofanyika Jijini Istanbul tarehe 19 Aprili, 2024.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Uturuki Mhe. Cevdet Yilmaz pamoja na viongozi mbalimbali katika Jukwaa la Wafanyabiashara

John Bukuku By John Bukuku

TANZANIA YAIPATIA ZAMBIA SCANA ILI KUTATUA CHANGAMOTO ZA BIASHARA MPAKANI

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda wa Zanzibar, Mhe. Omar Shaaban (kulia) akiwa na Waziri wa Biashara na Viwanda wa Zambia Mhe. Chipoka Mulenga (kulia) wakisaini na kuonesha Hati ya Tamko la Pamoja la kutatua changamoto za kibiashara baina ya ncho hizo wakati wa Mkutano wa tatu (3) wa Kamati ya Pamoja ya Biashara baina ya Tanzania na Zambia

Alex Sonna By Alex Sonna

BODI YA HOSPITALI YA CHUO KIKUU CHA DODOMA, YAVUTIWA UJENZI WA JENGO LA VIPIMO VYA MIONZI

  Wajumbe wa Bodi ya Hospitali wakisikiliza kwa makini maelezo ya mtaalamu katika maabara, kuhusu namna wanavyoendesha shughuli zao. Mwenyekiti wa Bodi ya Hospitali ya Chuo Kikuu cha Dodoma, Dkt. Saitori Laizer (Mwenye tai, wa pili kulia), akisikiliza kwa makini maelezo ya mtaalamu wa maabara wakati wa ziara ya Bodi hiyo kukagua shughuli zinazofanywa katika Hospitali hiyo. Wengine ni watendaji kutoka

Alex Sonna By Alex Sonna
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA JIJINI ISTANBUL UTURUKI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara na Wawekezaji katika Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki lililofanyika Jijini Istanbul tarehe 19 Aprili,

John Bukuku By John Bukuku

BUNGE LAPITISHA TRILIONI 10.25 ZA OFISI YA RAIS TAMISEMI

OR- TAMISEMI BUNGE limeidhinisha matumizi ya Shilingi trilioni 10.125 kwa ajili ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI, sekretarieti za mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa na Taasisi zake kwa mwaka 2024/25

John Bukuku By John Bukuku