Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

WAZIRI MKUU AHUTUBIA KATIKA TAMASHA MAALUM LA UHURU MEDIA.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Tamasha Maalum la Uhuru Media Group (UMG) la Kumpongeza    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan lililofanyika kwenye  Viwanja vya TTCL Kijitonyama jijini Dar es salaam, Aprili 20, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Mkurugenzi wa Uhuru Media Group, Shaban Kisu, tuzo maalum ya Rais Dkt. Samia

John Bukuku By John Bukuku

MKAGUZI MKUU WA NDANI KUONGEZA USIMAMIZI WA MAPATO NA MATUMIZI

  Mkaguzi Mkuu wa Ndani (IAG), Bw. Benjamini Magai (kushoto) na Msaidizi wake, Bw. Mwanyika Semroki, wakifuatilia mada za ukaguzi wa mazingira siku ya mwisho ya Mkutano wa 10 wa Shirikisho la Taasisi za Wakaguzi wa Ndani Afrika (AFIIA) lililofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC). Mkaguzi Mkuu wa Ndani Msaidizi, Bw. Mwanyika Semroki, akiwa katika picha ya pamoja na Rais

Alex Sonna By Alex Sonna

DK.HUSSEIN ALI MWINYI AZINDUA TAASISI YA WASANIFU,WAHANDISI NA WAKADIRIAJI MAJENGO..

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Taasisi, alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar, Wilaya ya Mjini Unguja kwa ajili ya Uzinduzi wa Taasisi ya Wasanifu,Wahandisi na Wakadiriaji, uliofanyika leo 20-4-2024 katika ukumbi wa Hoteli hiyo.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa

John Bukuku By John Bukuku

MBUNGE WA NJOMBE MJINI DEO MWANYIKA AKABIDHI GARI LA WAGONJWA MAKOWO

NJOMBE Mbunge wa jimbo la Njombe Mjini Deo Mwanyika amekabidhi gari wagonjwa kituo cha afya Makowo kilicho halmashauri ya mji wa Njombe kilichogharimu zaidi ya mil 560 katika ujenzi hadi kukamilika kwake Akizungumza na wakazi wa kata ya Makowo katika hafra ya makabidhiano ya gari hilo la wagonjwa mbunge Mwanyika amesema serikali imetoa gari hilo baada ya kukamilisha kituo hicho

Alex Sonna By Alex Sonna

SERIKALI MKOANI KIGOMA YABORESHA HUDUMA ZA MATIBABU YA KIBINGWA.

Katibu Tawala wa mkoa wa Kigoma Hassan Rugwa akizungumza na wananchi wa mkoa huo waliofika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni – Kigoma kwaajili ya kupata huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo zilizokuwa zinatolewa na wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa hospitali hiyo. Kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI MKUU AZINDUA STUDIO KIDIJITI ZA TBC.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga Ngoma alipozindua  Studio  za Kidigiti za Radio za Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), barabara ya Nyerere jijini Dar es salaam, Aprili 20, 2024. Kushoto ni  Mrisho Mpoto ambaye ni kongozi wa Bendi ya Mrisho. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga ala ya muziki  alipozindua, Studio za Kidijiti za Radio  za Shirika la Utangazaji

John Bukuku By John Bukuku

HATUWEZI KUJENGA CHAMA CHA WATU WENYE NONGWA – BALOZI DKT. NCHIMBI

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel nchimbi, amekemea vikali tabia ya baadhi ya wanachama na viongozi kuwa na nongwa jambo ambalo linapelekea kupoteza upendo, umoja na mshikamano na kutengeneza makundi ndani ya Chama Cha Mapinduzi. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameyasema hayo kwenye mkutano wa ndani uliokutanisha viongozi mbalimbali wa CCM kuanzia ngazi ya mashina, Viongozi wa

John Bukuku By John Bukuku

TAKUKURU TABORA YABAINI MIRADI ISIYO NA UBORA.

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Tabora imefuatilia utekelezwaji miradi 15 ya maendeleo yenye thamani ya sh bil 5.6 na kubaini kazi iliyofanyika kwa baadhi ya miradi haiendani na thamani ya fedha iliyotumika. Akitoa taarifa kwa waandishi na habari Leo Mkuu wa Taasisi hiyo Mkoani hapa Mhandisi Abenry Mganga alisema katika kipindi cha Januari-Machi 2024 Ofisi yake

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

TANTRADE YAWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA MAONESHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO

Na Sophia Kingimali. Meneja wa ukuzaji biashara kutoka Mamlaka ya Biashara (TANTRADE) Mohamed Tajiri ametoa rai kwa wananchi kujitokeza kwa wingi katika maonesho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika

John Bukuku By John Bukuku

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA JIJINI ISTANBUL UTURUKI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara na Wawekezaji katika Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki lililofanyika Jijini Istanbul tarehe 19 Aprili,

John Bukuku By John Bukuku