Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

CHUO CHA BAHARI DMI KIMESHAZALISHA WATAALAM WA BAHARI 5.177

Meneja wa Utafiti na Usahuri Elekezi na Machapisho, Chuo cha Bahari (DMI) Jonnes Lugoye akizungumza na waandishi wa habari katika Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Muungano yanayofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. ............................  NA JOHN BUKUKU, DAR ES SALAAM Katika kuadhimisha miaka 60 ya Muungano Chuo Cha Bahari (DMI) kimefanikiwa kupiga hatua katika nyanja mbalimbali

John Bukuku By John Bukuku

ASHTAKIWA KWA KUOMBA RUSHWA YA NGONO MKOANI TABORA

Aprili 25, 2024 katika Mahakama ya Wilaya ya Tabora, mbele ya Mhe. Demetrio Nyakunga, Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Tabora, imefunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi Namba ECC. 10892/ 2024 ya Jamhuri dhidi ya Bw. Michael Fredrick Mgongo Mhadhiri katika Chuo Cha Utumishi wa Umma (TPSC) Tawi la Tabora. Mwendesha Mashtaka kutoka TAKUKURU Bi. Mwanaidi Mbuguni ameieleza Mahakama kwamba

John Bukuku By John Bukuku

MABADILIKO YA MUUNDO NA MAREKEBISHO YA SHERIA YA MAKUMBUSHO KUBORESHA UTENDAJI 

................. Mwenyekiti wa Bodi ya Makumbusho ya Taifa la Tanzania, Dkt.Oswald Masebo amesema Serikali imeweka thamani kwa Makumbusho ya Taifa la Tanzania kama Taasisi muhimu ya kimkakati kwa ustawi wa Taifa kwa kuridhia marekebisho ya muundo na sheria ya Taasisi hiyo. Dkt.Masebo ametoa kauli hiyo leo tarehe 25 Aprili 2024 wakati wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Makumbusho ya

John Bukuku By John Bukuku

WAKILI NA MFANYABIASHARA WASHTAKIWA KWA KUGHUSHI NA KUWASILISHA NYARAKA ZA UONGO MAHAKAMANI

Aprili 25, 2024 katika Mahakama ya Wilaya Ilala limefunguliwa shauri la Uhujumu Uchumi namba 10936/2024 mbele ya Mhe. Rehema Lyana-Hakimu Mkazi Mwandamizi, ambapo washtakiwa: 1. David Andindilile Wakili wa kujitegemea, na 2. Hamza Suleiman Rajabu ambaye ni mfanyabiashara wamesomewa jumla ya mashtaka 14 ya Kughushi, kuwasilisha nyaraka za uongo na Utakatishaji fedha haramu. Makosa haya ni kinyume na Sheria ya

John Bukuku By John Bukuku

TANZANIA YANADI MAFANIKIO YAKE SEKTA YA MADINI KATIKA MKUTANO WA UWEKEZAJI MALAWI

*Washiriki wavutiwa na Tanzania, waomba kuja kujifunza nchini* *Dkt. Kiruswa awakaribisha wenye nia ya kuwekeza kwenye Utafiti na Uongezaji Thamani Madini* *Amweleza Rais wa Malawi nia ya Tanzania kuendelea kuimarisha ushirikiano baina ya Mataifa hayo mawili katika Sekta ya Madini* Lilongwe, Malawi. Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa amesema kuwa Tanzania imefanikiwa kwa kiwango kikubwa katika Sekta ya Madini

John Bukuku By John Bukuku

RAIS DKT. MWINYI AKOSHWA NA MDAHALO WA WANAWAKE NA MUUNGANO,AIPONGEZA UWT.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwa kazi kubwa waliyoifanya kuwaletea maendeleo wanawake na kukiimarisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na kuandaa mdahalo wa wanawake na Muungano. Pia, ameupongeza umoja huo kwa kuendelea kuwa kinara katika kubuni na kutengeneza mambo mbalimbali yenye lengo la

Alex Sonna By Alex Sonna
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara