Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

WAZIRI MKUU BUNGENI LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu maswali bungeni jijini Dodoma, Aprili 18, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kiwete, bungeni jijini Dodoma, Aprili 18, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wabunge, bungeni jijini Dodoma, Aprili 18, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Alex Sonna By Alex Sonna

WAZIRI JAFO AFUNGUA MILANGO KWA WADAU WA MAZINGIRA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza wakati wa kikao na ujumbe kutoka mashirika ya kimataifa yasiyo ya kiserikali ya The Pew Charitable Trusts (PEW) na Wetlands International (WI) kwa lengo la kuainisha fursa zilizolopo kwenye uhifadhi wa maeneo ya fukwe,  jijini Dodoma. Mkurugenzi wa Shirika la The Pew Charitable Trusts

Alex Sonna By Alex Sonna

UVCCM ZANZIBAR WAJIPANGA NA MAPOKEZI YA KISHINDO KWA JOKATE NA ABDI.

  Na, Mwandishi wetu Zanzibar.. Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Taifa wametangaza Mapokezi Makubwa na ya Kihistoria ya Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC)na Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar Ndugu Abdi Mahmood Abdi, Mapokezi hayo yatafanyika siku ya Jumamosi tarehe 20 April 2024 ofisi kuu Zanzibar kuanzia saa 2:00 Asubuhi. Akizungumza na

Alex Sonna By Alex Sonna

MKUTANO WA 10 WA AFIIA WAFUNGULIWA JIJINI ARUSHA.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akiagana na Waziri wa Fedha, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango - Zanzibar, Dkt. Saada Mkuya Salum pamoja na viongozi wengine wa Shirikisho la Taasisi za Wakaguzi wa Ndani Afrika (AFIIA) mara baada ya kufungua Mkutano wa 10 wa Shirikisho hilo unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa

John Bukuku By John Bukuku

KATIBU MKUU CCM BALOZI DR EMMANUEL NCHIMBI KUFANYA ZIARA YA SIKU MBILI NJOMBE ,KUPOKELEWA MAKAMBAKO

NJOMBE Katibu mkuu wa Chama cha mapinduzi CCM Taifa Balozi Dokta Emmanuel Nchimbi anatarajia kuwasili mkoani Njombe april 18 mwaka huu kwa ziara ya kikazi ya siku mbili kuzungumza na wanaccm pamoja na wananchi juu ya changamoto zinazowasibu katika maeneo yao Mbele ya vyombo vya habari Katibu wa siasa,Uenezi na Mafunzo CCM Mkoa wa Njombe Josaya Luoga amesema akiwa Mkoani

John Bukuku By John Bukuku

JINSI NINAVYOWAJUA WALIONIPORA PIKIPIKI YANGU

Jina langu ni Moses kutokea Kigoma nchini Tanzania, katika umri wangu wa miaka 31, naweza kusema kuwa kama mwanaume, roho iko rehani muda wote katika utafutaji, tunatafuta katika mazingira magumu sana. Mimi ninafanya kazi ya kuendesha boda boda lakini pia hufanya shughuli za kununua mazao kijijini na kuyaleta mjini. Siku moja nikaenda kijijini kutafuta mazao ya kununua lakini ikupata ya

John Bukuku By John Bukuku

RAIS WA ZANZIBAR MHE.DK.HUSSEIN MWINYI AMEFUNGUA SKULI YA MSINGI YA HAMID AMEIR DONGE IKIWA NI SHAMRASHAMRA ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO WA TANZANIA.

MUONEKANO wa jengo jipya la  Skuli ya Msingi ya Hamid Ameir Donge Mkoa wa Kaskazini Unguja,  iliyofunguliwa leo 17-4-2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Maadhimisho ya Miaki 60 ya Muungano wa  Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara