Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

SIMANJIRO WAONYWA UHARIBIFU MIUNDOMBINU YA MAJI

Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara l, Dkt Suleiman Hassan Serera akifungua kikao cha kujadili mradi wa kuboresha upatikanaji wa huduma za maji vijijini kwa ubia na sekta binafsi (PPP) ulioandaliwa na mamlaka ya maji na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA). Na Mwandishi wetu, Simanjiro BAADHI ya wafugaji Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wameonywa kutoharibu miundombinu inayosambaza maji kwa jamii,

Alex Sonna By Alex Sonna

MUFTI SHEIKH ZUBEIR, KUZINDUA RASMI KITABU CHAKE CHA MAADILI MFUNGO MOSI

Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Machi 29 Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir, anatarajia kuzindua rasmi kitabu chake ambacho kinahusu masuala mazima ya maadili, kitabia ndani ya jamii hususan kwa kundi la vijana, ifikapo mfungo mosi. Aidha amewaasa watanzania kujenga tabia ya kusaidia makundi maalum pamoja na watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu (yatima) kwa nyakati zote isiishie mwezi mtukufu wa Ramadan

John Bukuku By John Bukuku

SAMSUNG S24 LIVE TRANSLATE MAKES EVERY USER A MULTLINGUAL

Imagine calling someone who does not speak your language, say, French, then the other person speaks in French, but your phone relays the phone call to you in English. Is this even possible? Can such an evolution be already happening? Yes. It is happening through the newly-launched, AI-Powered, Samsung S24. The S24 comes with several AI-powered features, including Live Translate.

John Bukuku By John Bukuku

RC RUVUMA AWAAGIZA WAKUU WA IDARA KUANDAA MAJIBU YA HOJA NA MAPENDEKEZO YA CAG

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed akizungumza kwenye kikao cha mapitio ya utekelezaji wa maagizo ya Kamati ya Kudumu ya Bunge na Hesabu za serikali LAAC  Halmashauri ya Mji wa Mbinga Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Rehema Sefu Madenge akizungumza kwenye kikao cha mapitio ya utekelezaji wa maagizo ya Kamati ya Kudumu ya Bunge na Hesabu

Alex Sonna By Alex Sonna

MASHABIKI WA SIMBA WAPATA AJALI VIGWAZA PWANI

Na Victor Masangu,Vigwaza Mtu mmoja ambaye ni shabiki wa Klabu ya Simba anahofiwa kufariki dunia katika ajali ya gari aina ya coaster iliyokuwa imebeba mashabiki wa Simba ikitokea Mbeya kupata ajali ya kugongana na Lori leo alfajiri majira katika eneo la Vigwaza mizani Mkoa wa Pwani. Taarifa za awali ambazo zimethibitisha na Mwenyekiti wa kijiji cha Vigwaza zinaeleza kuwa gari

John Bukuku By John Bukuku

HADITHI: NYUKI WAKAVAMIA MALI ILIYODHULUMIWA

Jina langu ni Abedi, natokea Mtwara, Tanzania, nikiwa mwaka wa tatu chuoni IFM, Dar es Salaam nilimpokea rafiki yangu ambaye alitoka kijijini kwa ajili ya kujiunga mwaka wa kwanza hapo hapo chuoni. Kwa kweli nilikua nimejipanga vizuri, nilikua nikiishi kama muajiriwa kwa vitu nilivyokua navyo pale ghetto, kwa kifupi mimi na rafiki yangu tuliishi vizuri sana mwaka huo. Baada ya

John Bukuku By John Bukuku

DC SAME AAGIZA (TRA) WILAYANI HUMO KUTUMIA UBUNIFU WA KUDHIBITI MIANYA YA UKWEPAJI KODI

Mkuu wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Mh. Kasilda Mgeni ameagiza Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilayani humo kutumia ubunifu, Weledi pamoja na busara katika kudhibiti mianya ya ukwepaji kodi kwa baadhi ya wafanyabiashara wasiowaadilifu. Mkuu huyo wa Wilaya amebainisha hayo katika kikao cha Kamati ya Ushauri wa Kodi cha Wilaya na kusisitiza kuwa mfanyabiashara yeyote atakaye bainika

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

DC SAME AAGIZA (TRA) WILAYANI HUMO KUTUMIA UBUNIFU WA KUDHIBITI MIANYA YA UKWEPAJI KODI

Mkuu wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Mh. Kasilda Mgeni ameagiza Maafisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wilayani humo kutumia ubunifu, Weledi pamoja na busara katika kudhibiti mianya ya

John Bukuku By John Bukuku

RAIS SAMIA APOKEA RIPOTI ZA CAG NA TAKUKURU, AAHIDI KUFANYIA KAZI

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/23 kutoka kwa Bw. Charles

John Bukuku By John Bukuku