Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

MKUU WA MAJESHI AKUTANA NA NAIBU KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA ANAYESHUGHULIKIA ULINZI WA AMANI

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Jacob John Mkunda leo amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia Operesheni za Ulinzi wa Amani ( UN Under Secretary General for Peace Operations) Bw. Jean Pierre Lacroix ofisini kwa Mkuu wa Majeshi, Upanga, Jijini Dar es salaam. Katika mazungumzo yao, Bw. Jean Pierre Lacroix amelipongeza JWTZ na

John Bukuku By John Bukuku

TAWA YAPOKEA MELI YA WATALII ZAIDI YA 200 KILWA KISIWANI

Na Beatus Maganja Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA leo Aprili 24, 2024 imepokea meli ya watalii wapatao 230 kutoka Mataifa mbalimbali Duniani waliofika katika Hifadhi ya Urithi wa utamaduni wa Dunia ya Magofu ya Kilwa kisiwani na Songo Mnara kwa ajili ya shughuli za utalii. Meli ijulikanayo kwa jina la "Silver Clouds" ndiyo iliyotia nanga katika Hifadhi

John Bukuku By John Bukuku

MTATURU ACHANGIA MABORESHO YA MIUNDOMBINU YA ELIMU

  JITIHADA za Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe Miraji Mtaturu kwa kushirikiana na wanachi zimesaidia kukamilisha kazi ya upauaji wa madarasa mawili katika Shule Shikizi ya Mwitumi hatua itakayoondoa changamoto ya watoto kusafiri umbali wa kilomita 9 na kuvuka mito miwili kufuata shule mama ya Msingi Nkundi. Katika jitihada hizo wananchi walitumia nguvu yao kujenga hadi usawa wa

Alex Sonna By Alex Sonna

WAZIRI MAVUNDE AFUTA MAOMBI YA LESENI ZA MADINI 227

*Awataka wadau kuzingatia matakwa ya Sheria *Wamiliki wa akaunti za uombaji na usimamizi wa leseni kwa njia ya mtandao ambao sio waaminifiu kusitishiwa akaunti zao *Zoezi la ufutaji wa maombi na Leseni kuwa endelevu *Amtaka kila mmoja kufuatilia hadhi ya maombi au Leseni zake Dodoma Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amebainisha kwamba Serikali kupitia Tume ya Madini imefuta jumla

John Bukuku By John Bukuku

VIJIJI 11,837 VIMEUNGANISHWA NA UMEME – NAIBU WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI, DKT. DOTTO BITEKO BUNGENI LEO

Serikali imesema hadi kufikia Mwezi, Machi 2024 jumla ya vijiji 11,837 sawa na asilimia 96.37 ya vijiji vyote 12,318 vya Tanzania Bara vilikuwa vimeunganishiwa huduma ya umeme. Hayo yamesema na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Dotto Biteko Bungeni, leo Tarehe 24 Aprili, 2024, Jijini Dodoma wakati akisoma Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara

John Bukuku By John Bukuku

EWURA  YATOA VIBALI SITA KWA AJILI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA KUSAMBAZA GESI ASILIA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko  akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka 2024/25 leo Aprili 24,2024 bungeni jijini Dodoma. Na.Alex Sonna-DODOMA HADI kufikia Machi 2024 Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ilitoa vibali sita kwa ajili ya ujenzi wa Miundombinu ya kusambaza gesi asilia viwandani

Alex Sonna By Alex Sonna

RAIS SAMIA AZINDUA KITABU CHA HISTORIA YA MIAKA 60 YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wageni pamoja na viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais pamoja na Kitabu cha Safari za Picha ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 60 kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 24 Aprili, 2024.

John Bukuku By John Bukuku

RAIS WA MABUNGE DUNIANI DKT. TULIA AKUTANA NA BALOZI WA NORWAY TANZANIA

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Norway nchini Tanzania Mhe. Tine Tonnes Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma leo tarehe 24 Aprili, 2024. Pamoja na mambo mengine, Balozi wa Norway amemshukuru Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara