Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

MABWENI YACHANGIA WANAFUNZI KUFANYA VIZURI KWENYE MASOMO GEITA

Uwepo wa Mabweni katika shule za sekondari zimeelezwa kuwa ni moja ya kichocheo cha wanafunzi wa kike kufanya vizuri kwenye masomo yao na kuepukana na vishawishi ambavyo vimekuwa vikiwapelekea kushindwa kutimiza ndoto zao. Akizungumza kwenye mahafari ya pili ya kidato cha sita kwenye shule ya Sekondari ya Shantamine iliyopo kata ya Mtakuja,Halmashauri ya Mji wa Geita,Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo ambaye

John Bukuku By John Bukuku

MTUMISHI WA HALMASHAURI WILAYA YA HANANG JELA MIAKA ISHIRINI KWA UBADHIRIFU

Mahakama ya Wilaya ya Hanang imemhukumu aliyekuwa Mkusanya Mapato kwa kutumia mashine ya POS wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, Bw. PETRO MICHAEL MURAY. Mshitakiwa ametiwa hatiani kwa kosa la ubadhirifu kosa ambalo ni kinyume na kifungu cha 28(1) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa sura ya 329 kama ilivyofanyiwa marejeo Mwaka 2022. Hukumu hiyo dhidi

John Bukuku By John Bukuku

UPENDO WELLA: SERIKALI ZOTE MBILI ZIMESIMAMIA MUUNGANO IPASAVYO

Katibu Tawala wa wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro, Upendo Wella, amesema kwamba katika kipindi cha miaka 60 ya Muungano, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zimefanikiwa kusimamia masuala ya Muungano kwa ufanisi mkubwa. Hii imesababisha kuimarika kwa utaifa, umoja, amani, utulivu, na hali ya maisha ya wananchi kutokana na ukuaji wa uchumi wa

John Bukuku By John Bukuku

WCF INAGUSA USTAWI WA WANANCHI-JAJI MKUU PROFESA IBRAHIM HAMISI JUMA

NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID, KIGOMA JAJI Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Profesa Ibrahim Hamisi Juma, amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema lengo la vyombo vyote vya dola ni ustawi wa wananchi. Mhe. Jaji Mkuu, ameyasema hayo mjini Kigoma Aprili 19, 2024, wakati akifungua  Kikao Kazi kati ya Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Mahakama ya Tanzania

John Bukuku By John Bukuku

KUTOKA KIBANDA CHA KUCHAJI SIMU HADI DUKA KUBWA LA SIMU

Jina langu ni Mudi kutoka Bagamoyo, katika maisha yangu niliapa mdogo wangu hatoshindwa kumiliki pair mbili za uniform ili asiwe kama ilivyokua kwangu kipindi nasoma. Nakumbuka nilikua natumia pair moja tu kwa sababu uwezo ulikua mdogo, familia ilikuwa haina uwezo, nashukuru Mungu nilimaliza shule ya msingi nikaenda sekondari japo niliishia kidato cha tatu. Basi baada ya kushindwa shule niliamua kurudi

John Bukuku By John Bukuku

KAMPUNI YA DRAFCO, PREMATURE BABIES WAELIMISHA ZAIDI YA WATU 700, WATOA MSAADA WA TAULO HOSPITALI YA AMANA

Mzee Baraka Meneja Mauzo Drafco Group Ltd wa pili kutoka kulia akikabidhi taulo za kike kwa Dkt.  Robert Magoma Kaimu Mganga Mkuu hospitali ya rufaa ya Amana Ilala jijini Dar es Salaam ambapo amepokea taulo (Baby Cheeky, Cuidado na Pinotex) kutoka kampuni ya Drafco Group Limited, Pia kampeni ya kuelimisha wanawake na watoto namna ya matumizi ya Taulo za watoto, akina

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

TANTRADE YAWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA MAONESHO YA MIAKA 60 YA MUUNGANO

Na Sophia Kingimali. Meneja wa ukuzaji biashara kutoka Mamlaka ya Biashara (TANTRADE) Mohamed Tajiri ametoa rai kwa wananchi kujitokeza kwa wingi katika maonesho ya miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika

John Bukuku By John Bukuku

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA JIJINI ISTANBUL UTURUKI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara na Wawekezaji katika Jukwaa la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uturuki lililofanyika Jijini Istanbul tarehe 19 Aprili,

John Bukuku By John Bukuku