Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

MADAKTARI SEKOUTOURE WAFANIKISHA KUTOA JIWE LA GRAM 800 KWENYE KIBOFU CHA MKOJO

Madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure wamefanikiwa kufanya upasuaji na kuondoa Jiwe ndani ya kibofu cha Mkojo kwa Mwanamke mwenye umri wa miaka 48. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa hospitalini hapo jiwe hilo lenye uzito wa Gramu 800 lililomsumbua mhusuka kwa zaidi ya miaka mitatu. Akizungumza leo Aprili 18, 2024 na Daktari Bingwa wa Upasuaji katika

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI MKUU AFUNGA MKUTANO WA SADCOPAC

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Abeid Aman Karume Zanzibar ambako atafunga  Mkutano wa Kujenga Uelewa wa Pamoja na Ufanyaji wa Kazi wa Taasisi za Ukaguzi na Mabunge (SADCOPAC) kwenye hoteli ya Goilden Tulip, Aprili 18, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofunga Mkutano wa Kujenga Uelewa wa

John Bukuku By John Bukuku

KINANA: SERIKALI YA RAIS SAMIA ITACHUKUA HATUA KUKABILI ATHARI ZA MVUA

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akizungumza na Viongozi  wa CCM katika kikao maalum Cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Musoma Mjini mkoani Mara katika Ziara ya Kuimarisha Chama Mkoani humo.  Viongozi na Wanachama Mbalimbali wakifuatilia  kikao maalum Cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Musoma Mjini kilichohudhuliwa na makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Ndg. Abdulrahma Kinana.

John Bukuku By John Bukuku

DKT. BITEKO ASEMA BWAWA LA UMEME JULIUS NYERERE LIKO SALAMA

 *Asema limepunguza athari za mafuriko  *Atoa pole kwa waathirika wa mafuriko Rufiji  *Aeleza jitihada za Serikali kwa waathirika  *Azungumzia umuhimu wa Nishati Safi ya Kupikia, Bei ya Gesi Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa licha ya mvua zinazoendelea kunyesha nchini, Bwala la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) lipo salama kutokana na kujengwa kisayansi

John Bukuku By John Bukuku

MIAKA MIWILI YA FILAMU YA TANZANIA THE ROYAL TOUR, MABALOZI WAMPONGEZA RAIS SAMIA KWA ONGEZEKO LA WATALII.

Na Mwandishi wetu, Ngorongoro Kreta. Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Ujerumani, Ufaransa na Ubelgiji wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi za kutangaza utalii wa Tanzania zilizopelekea kuendelea kuongeza idadi ya watalii hapa nchini. Pongezi hizo zimetolewa na mabalozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Mhe. Jestas Nyamanga, Balozi wa Tanzania Nchini Ujerumani

John Bukuku By John Bukuku

ASKARI POLISI WATAKIWA KUJIWEKA IMARA KUUKABILI UHALIFU

MOSHI – KILIMANJARO Askari kutoka Ukanda wa Mashariki Mwa Afrika wametakiwa kujiweka imara katika kukabiliana na uhalifu unaovuka mipaka, ugaidi, usafirishaji haramu wa binadamu pamoja na usafirishaji wa dawa za kulevya. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Sillo wakati akifunga rasmi zoezi la utayari FTX  USALAMA PAMOJA 2024 lililofanyika katika Shule ya Polisi

John Bukuku By John Bukuku

TANESCO TEMEKE WAPEWA SOMO KUZINGATIA MAADILI YA KAZI

Watumishi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Temeke wakishiriki semina ya kujengewa uwezo iliyotolewa na  Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma iliyofanyika  Aprili 17, 2024 katika Ukumbi wa  Baraza la Maaskofu uliopo kurasini, Wilaya ya Temeke, Dar es Saalam. Mhandisi Mkuu wa TANESCO Mkoa wa Temeke, David Mhando akizungumza na watumishi wa mkoa  huo wakati akifungua semina

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI JAFO ATOA MAELEKEZO HALMASHAURI,NEMC

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akizungumza katika kikao na mameneja wa kanda wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kilicholenga kujadili mikakati ya usimamizi wa mazingira na kutoa maelekezo, jijini Dodoma leo Aprili 18, 2024. Mkurugenzi wa Uzingatiaji na Utekelezaji wa Sheria Baraza la Taifa la

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara