Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

WAZIRI MKUU AKAGUA ATHARI ZILIZOSABABISHWA NA MAFURIKO YALIYOTOKANA NA MVUA KUBWA ZINAZOENDELEA KUNYESHA NCHINI KATIKA MAENEO YA TAWETA,MASAGATI,UTENGULE NA MALINYI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Morogoro Adam Malima, wakati alipowasili katika Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro, wakati alikagua athari zilizosababishwa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo ya Taweta, Masagati, Utengule na Malinyi. Aprili 16.2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia mkono wananchi wa Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro,

Alex Sonna By Alex Sonna

WIZARA YA TAMISEMI YAOMBA SHILINGI TRILIONI 10.125

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa akizungumza wakati wa kuwasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara, sekretarieti za mikoa na mamlaka za serikali za mitaa na taasisi zake kwa mwaka 2024/25. Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Adolf H. Ndunguru akiwa na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais

John Bukuku By John Bukuku

PICHA: DKT.TULIA AKIFUNGUA KIKAO CHA MABADILIKO YA TABIANCHI

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mhe. Dkt. Tulia Ackson,  akifungua kikao cha kujadili changamoto za mabadiliko ya tabianchi yanayoikumba Dunia na utatuzi wake, wakati wa Mkutano wa Mwaka 2024 wa Jukwaa la Kibunge la Benki ya Dunia na Shirika la Fedha Duniani unaofanyika katika Makao Makuu ya Benki ya Dunia, Washington DC,

Alex Sonna By Alex Sonna

DKT. NCHIMBI AKIZUNGUMZA NA KAMATI YA SIASA MKOA WA SONGWE

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akizungumza kwenye Kikao cha Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Songwe, baada ya kupokea taarifa za utendaji kazi za Chama na Serikali mkoani humo, leo Jumanne, Aprili 16, 2024.

John Bukuku By John Bukuku

WAZIRI. MKUU KUKAGUA ATHARI ZA. MAFURIKO MLIMBA MOROGORO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Aprili 16, 2024 amewasili Halmashauri ya Mlimba, Wilaya ya Kilombero Mkoani Morogoro ambapo atakagua athari zilizosababishwa na mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini katika maeneo ya Taweta, Masagati, Utengule na Malinyi. Pia Mheshimiwa Majaliwa atazungumza na wananchi waliothirika na mafuriko hayo. Aidha, Mheshimiwa Majaliwa pia ataelekea Wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani ambapo

John Bukuku By John Bukuku

WATAALAM WIZARA YA MAJI, BENKI YA DUNIA WAKAGUA MRADI WA MAJI MATARE IKUNGI

Wataalamu wa Wizara ya Maji na wawakilishi wa Benki ya Dunia wakikagua mradi wa maji wa Matare wilaya ya Ikungi mkoani Singida. Mradi huo umefanikishwa kupitia programu ya malipo kwa matokeo Mradi unathamani ya shilingi milioni 328 ,na ujenzi wake umehusisha tenki la lita za ujazo 75,000 kwenye mnara wa mita sita ,pamoja na ujenzi wa vituo vya umma vya

John Bukuku By John Bukuku

WANAFUNZI CHUO KIKUU SUA KAMPASI YA MIZENGO PINDA KATAVI WAFUNDWA.

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Jimbo la Kavuu Mhe. Geophrey Pinda akizungumza wakati wa kikao chake na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sokione cha Kilimo (SUA) Kampasi ya Mizengo Pinda tarehe 15 April 2024 wilayani Mlele mkoa wa Katavi. Kulia ni Naibu RASI wa Ndaki Taaluma Profesa Anna Sikila na kushoto ni Mkuu

John Bukuku By John Bukuku

DKT. NCHINBI AKIZUNGUNZA NA MWANANCHI KATIKA SOKO LA MAZAO TUNDUMA

Katibu Mkuu wa Chama Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi akimsikiliza mmoja wa wananchi waliojitokeza kumlaki jana wakati msafara wake ulipowasili katika Soko la Mazao katika Mji wa Tunduma kwa ajili ya kutembelea kuangalia maendeleo ya maboresho ya soko hilo na kusikiliza kero za wafanyabiashara sokoni hapo. Kushoto pichani ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo.

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara

MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YAHIMIZWA MKUTANO WA 10 WA WAKAGUZI AFRIKA.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum, akiwataka wakaguzi wa ndani barani Afrika kutumia utaalam wao wa ukaguzi kuzisaidia nchi zao kutatua

John Bukuku By John Bukuku

TCB YATOA MIKOPO YA BILIONI 700 KWA WASTAAFU

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya TBC Bw.Adam Mihayo  akizungumza katika kikao kazi kati ya Ofisi ya Msajili wa hazina,jukwaa la wahariri Tanzania kilichofanyika leo Aprili 9, 2024 kwenye hotel ya

John Bukuku By John Bukuku