Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Latest news

AGENDA YAKUTOKOMEZA MALARIA IWE YAKUDUMU KATIKA VIKAO VYA MAAMUZI

Na WAF, TABORA Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel ameziasa Kamati za Ulinzi na Usalama nchini kuona umuhimu wakuifanya ajenda yakutokomeza Malaria iwe yakudumu kwenye vikao vya maamuzi. Dkt. Mollel ameyasema hayo akiwa amemwakilisha Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu kwenye kilele cha Siku ya Malaria Duniani iliyofanyika mkoani Tabora na kusema kuwa kama nchi imeendelea kupiga hatua katika

Alex Sonna By Alex Sonna

RAIS DKT. SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI, IKULU CHAMWINO DODOMA         

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Aprili, 2024.

John Bukuku By John Bukuku

TANZANIA NA URUSI KUSHIRIKIANA KUDHIBITI UHALIFU WA KIMTANDAO

Katibu wa Baraza la Usalama la Shirikisho la Urusi, Nikolai Patrushev (wa kumi na tano kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Daraja la Juu kutoka serikalini wanaohusika na mambo ya Usalama kutoka takribani ya nchi 20 Duniani waliokutana nchini Urusi katika Jiji la St.Petersburg kujadili changamoto ya uhalifu wa kimtandao na jinsi ya kupambana nao.Tanzania pia inashiriki mkutano huo

John Bukuku By John Bukuku

TAKUKURU YAFANIKISHA MAREJESHO YA SH.MILIONI 439.2 KUTOKA KWA WANUFAIKA WA MIKOPO ASILIMIA 10 JIJI LA TANGA

Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Tanga Victot Swella akizungumza na waandshi wa habari ambao hawapo pichani wakati akitoa taarifa ya utendaji kazi kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2024 ambapo alisema kwamba moja ya kazi walioifanya ni ufuatiliaji wa ufanisi katika utekelezaji mkakati wa utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa vijana,wanawake na watu wenye ulemavu.Kamanda wa Takukuru Mkoa wa

John Bukuku By John Bukuku

DCEA KANDA YA KASKAZINI; UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAKE MOSHI KILIMANJARO

Na Prisca Libaga Kilimanjaro Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini leo tarehe 24 Aprili 2024 imeendelea na yake ziara Mkoani Kilimanjaro. Maafisa wa Mamlaka walipata fursa ya kutembelea Mahabusu ya watoto iliyopo katika Manispaa na Moshi na kutoa Elimu juu ya Madhara ya matumizi ya Dawa za kulevya katika kituo hicho. Pamoja na

John Bukuku By John Bukuku

TFS YATOA MILIONI 20 KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO RUFIJI NA KIBITI

Na Mwamvua Mwinyi, Pwani WAKALA wa huduma za misitu Tanzania (TFS) imemkabidhi Mkuu wa mkoa wa Pwani kiasi cha sh.milioni 20 kwa ajili ya waathirika wa mafuriko Wilayani Rufiji na Kibiti. Aidha imetoa eneo Chumbi Rufiji lenye viwanja 600 ili kuhamisha wale wanaoishi mabondeni wawe eneo salama. Akipokea Mfano wa hundi ya msaada huo ,Mkuu wa mkoa wa Pwani alhaj

John Bukuku By John Bukuku

MAKAMU WA RAIS AZINDUA JENGO LA UCSAF DODOMA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Msanifu Majengo Arch. Msuya Abdulkarim kuhusu Jengo la Ofisi ya Taasisi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) wakati alipowasili kwaajili ya kuzindua jengo hilo lililopo eneo la Njedengwa mkoani Dodoma. Tarehe 25 Aprili 2024. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa

John Bukuku By John Bukuku
- Advertisement -
Ad imageAd image
- Advertisement -
Ad imageAd image

Follow US

- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image
- Advertisement -
Ad image

Biashara