Baadhi ya Wageni Waalikwa na Wahasibu ,Wakaguzi na Washauri waliohudhuria katika Mkutano wa Waziri wa Fedha na Mipango Juma Malik Akili wakati alipofanya ziara katika Taasisi ya Wahasibu,Wakaguzi na Washauri Elekezi Amani Zanzibar.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Wahasibu,Wakaguzi na Washauri Elekezi CPA Ame Burhan Shadhil akizungumza kuhusiana na Taasisi katika Mkutano na Waziri wa Fedha na Mipango Juma Malik Akili wakati alipofanya ziara katika Taasisi hio Amani Zanzibar.

Mwenyekiti wa Taasisi ya Wahasibu,Wakaguzi na Washauri Elekezi CPA Juma Amour Mohamed akitoa hotuba ya makaribisho katika Mkutano na Waziri wa Fedha na Mipango Juma Malik Akili wakati alipofanya ziara katika Taasisi hio Amani Zanzibar.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dk Hamad Omar Bakari akizungumza kuhusiana na Utekelezaji wa Majukumu ya Wahasibu katika Mkutano na Waziri wa Fedha na Mipango Juma Malik Akili wakati alipofanya ziara katika Taasisi ya Wahasibu,Wakaguzi na Washauri Elekezi Amani Zanzibar.

Waziri wa Fedha na Mipango Juma Malik Akili (KULIA)akipatiwa Maelezo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Wahasibu,Wakaguzi na Washauri Elekezi CPA Ame Burhan Shadhil wakati alipofanya ziara katika Taasisi hio Amani Zanzibar.

Waziri wa Fedha na Mipango Juma Malik Akili (KULIA)akipatiwa Maelezo na Mkutubi wa Taasisi ya Wahasibu,Wakaguzi na Washauri Elekezi Talha Hamad wakati alipofanya ziara katika Taasisi hio Amani Zanzibar.

Waziri wa Fedha na Mipango Juma Malik Akili (KULIA)akitoa maelekezo kwa Mkutubi wa Taasisi ya Wahasibu,Wakaguzi na Washauri Elekezi Talha Hamad wakati alipofanya ziara katika Taasisi hio Amani Zanzibar.

Waziri wa Fedha na Mipango Juma Malik Akili (KUSHOTO)akipatiwa Zawadi ya Saa yenye Picha yake na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wahasibu,Wakaguzi na Washauri Elekezi Juma Amour Mohamed wakati alipofanya ziara katika Taasisi hio Amani Zanzibar.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dk Hamad Omar Bakari (KUSHOTO)akipatiwa Zawadi ya Saa yenye Picha yake na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wahasibu,Wakaguzi na Washauri Elekezi Juma Amour Mohamed wakati alipofanya ziara katika Taasisi hio Amani Zanzibar.
(PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.04/02/2026.II)



