Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni, Halima Bulembo ambaye alimwakilisha Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Septemba 19, 2024, kabla ya kuondoka nchini kwenda Marekani kumwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
WAZIRI MKUU KUMWAKILISHA RAIS DKT SAMIA MKUTANO WA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA
By John Bukuku
September 19, 2024 | 3:19 pm

Related Stories
View all
Mchanganyiko
47 minutes ago
NAIBU SPIKA SILLO: MICHANGO YA WADAU MUHIMU KUIMARISHA UPANDIKIZAJI FIGO NA ULOTO KWA WATOTO WENYE SICKL CELL
NAIBU Spika wa Bunge, Daniel Sillo, ametoa wito kwa wananchi na wadau mbalimbali kushiriki katika kuchangia huduma za matibabu ya upandikizaji Uloto kwa Watoto…
Mchanganyiko
3 hours ago
MHE. HEMED AKABIDHI TUNZO ZA UMAHIRI ZA ZBS KWA MWAKA 2026
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaendelea kuiimarisha Taasisi ya viwango Zanzibar ( ZBS ) ili kuendana na mabadiliko ya teknolojia duniani katika kuhakikisha ubora…