Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe wakati alipozindua Jengo la Huduma ya Macho katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza, Oktoba 16, 2022. Wengine  kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula, Mkurugenzi wa Wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, Dkt. Fabian Massaga, Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, Makamau wa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) na Askofu wa Jimbo la Geita, Flavian Kassala,  Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Renatus Nkwande, Mwakilishi Mkazi wa Taasisi ya  Christian Blind Mission ya Ujerumani, Nesia Mahenge na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki  Tanzania (TEC) na Askofu wa Jimbo la Geita , Flavian Kasalaa (wa tatu kushoto)  wakizindua  Jengo la Huduma ya Macho katika Hospital ya  Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza Oktoba 16, 2022.  Wa pili kulia ni Askofu Mkuu  Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu la Mwanza, kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula, wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Adam Malima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza kuzindua Jengo la Huduma ya Macho, Oktoba 16, 2022. Viongozi hao kutoka kulia ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula,Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, Dkt. Fabian Massaga, Askoku Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Renatus Nkwande na  Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania na  Askofu wa Jimbo la Geita, Flavian Kassala. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Dkt. Christopher Mwanansao ambaye ni Mkuu wa Idara ya Macho katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando  wakati alipozindua Jengo la Huduma ya Macho  katika hospitali hiyo jijini Mwanza, Oktoba 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali pamoja watumishi wa Taasisi ya  Christian Blind Mission ya Ujerumani baada ya kuzindua Jengo la Huduma ya Macho  katika hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando jijini Mwanza, Oktoba 16, 2022. Kushoto kwake ni Makamu wa Rais wa Baraza la Maaskofu Katolika Tanzania (TEC), na Askofu wa Jimbo la Geita, Flavian Kassala na kulia kwake ni  Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Renatus Nkwande. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)