Home Mchanganyiko KATIBU MKUU CCM CHONGOLO AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CNDD FDD JIJINI...

KATIBU MKUU CCM CHONGOLO AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CNDD FDD JIJINI DAR ES SALAAM

0

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FDD cha Burundi Mhe. Reverien Ndikuriyo (kushoto)ofisini kwake Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiwa kwwenye picha ya pamojana Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FDD cha Burundi Mhe. Reverien Ndikuriyo (kushoto)mara baada ya mazungumzo ofisini kwake Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam