Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili  katika uwanja wa ndege wa Dodoma alipokua akirejea nchini kutoka nchini Msumbiji baada ya kukamilisha ziara  yake ya kikazi ya siku moja Nchini humo leo tarehe 28 Januari 2022 Nchini humo.