Home Mchanganyiko RAIS DK.MWINYI AONDOKA DODOMA BAADA YA KUFUNGUA WIKI YA SHERIA TANZANIA...

RAIS DK.MWINYI AONDOKA DODOMA BAADA YA KUFUNGUA WIKI YA SHERIA TANZANIA JIJINI DODOMA

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, wakiwasalimia na kuagana na Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Mkoani Dodoma katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma akielekea Zanzibar,baada ya kumalizika kwa ufunguzi wa Wiki ya Sheria Tanzania uliofanyika katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwa katika Uwanja wa Ndege Mkoani Dodoma wakielekea kupanda Ndege kurejea Zanzibar baada ya kumaliza kufunguzi wa Wiki ya Sheria Tanzania katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma leo 23-1-2022 na kuongoza Matembezi ya Wiki ya Sheria.(Picha na Ikulu)