Home Mchanganyiko MAKAMU MKUU SUZA AKABIDHIWA OFISI RASMI

MAKAMU MKUU SUZA AKABIDHIWA OFISI RASMI

0

Makamu mkuu mstaafu Dkt.Zakia M.Abubakar (kushoto) akimkabidhi  Makamu Mkuu wa Chuo kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA Prof.Moh’d Makame Haji (kulia), baadhi ya vitabu   vyenye  taarifa mbalimbali za chuo na sheria, ikiwa ni ishara ya makabidhiano ya Ofisi , kati kati ni Katibu mkuu WIzara ya elimu na mafunzo ya Amali Zanzibar Ali khamis Ali, hafla iliyofanyika SUZA

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA akitoa neno la shukurani mara baada ya kukabidhiwa Ofisi na Makamu Mkuu mstaafu wa Chuo hicho Dkt. Zakia M. Abubakar hafla iliyofanyika SUZA

 

PICHA NA FAUZIA MUSSA-MAELEZO ZANZIBAR