Home Michezo MAJALIWA AKAGUA UKARABATI UWANJA WA MAJALIWA

MAJALIWA AKAGUA UKARABATI UWANJA WA MAJALIWA

0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua maendeleo ya ukarabati wa uwanja wa mpira wa miguu wa Majaliwa, uliopo Ruangwa mkoani Lindi,

Muonekano wa uwanja wa  mpira wa miguu wa Majaliwa uliopo Ruangwa mkoani Lindi ambao unafanyiwa ukarabati, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliutembelea na kukagua maendeleo ya ukarabati wake Oktoba 26, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)