Home Michezo YANGA YALAMBA DILI WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

YANGA YALAMBA DILI WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

0

*********************************

Klabu ya Yanga leo tumeingia makubaliano na Wizara ya Maliasili na Utalii, ya kuvaa jezi zenye nembo ya VISIT KILIMANJARO & ZANZIBAR kwenye michezo yetu ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

ikumbukwe yanga wataanza safari leo hii kwenda nchini Nigeria katika mechi ya marudiano Klabu Bingwa Afrika ambapo siku ya Jumapili watakipiga na Rivers ambapo yanga wapo nyuma kwa kufungwa bao 1-0 kwenye mchezo wa awwali ulipigwa kwenye dimba la Mkapa jijini Dar es Salaam.