Home Michezo WANAMICHEZO WANAWAKE WAPEWA MBINU ZA KUTUMIA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUJITANGAZA ILI...

WANAMICHEZO WANAWAKE WAPEWA MBINU ZA KUTUMIA VYOMBO VYA HABARI KATIKA KUJITANGAZA ILI KUVUTIA UDHAMINI KATIKA MICHEZO YA WANAWAKE

0

Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Hassan Abbas akitoa mada kwa wanamichezo wanawake juu ya matumizi ya vyombo vya Habari katika kuinua sekta ya Michezo kwa wanawake nchini mapema hii leo katika uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam mara baada ya Kufungua kongamano la Tamasha la Michezo kwa Wanawake.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Hassan Abbas akitoa mada kwa wanamichezo wanawake(hawapo pichani) juu ya matumizi ya vyombo vya Habari katika kuinua sekta ya Michezo kwa wanawake nchini mapema hii leo katika uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam mara baada ya Kufungua kongamano la Tamasha la Michezo kwa Wanawake.

Baadhi ya wanamichezo wanawake wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo, Dkt. Hassan Abbas (hayupo pichani) Wakati akitoa mada juu ya matumizi ya vyombo vya Habari katika kuinua sekta ya Michezo kwa wanawake nchini mapema hii leo katika uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam mara baada ya Kufungua kongamano la Tamasha la Michezo kwa Wanawake.

Picha na WSUM – Dar es Salaam