Home Mchanganyiko RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA DEMOKRASIA DUNIANI KATIKA UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE JIJINI DAR ES SALAAM

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanawake pamoja na viongozi mbalimbali wa vyama vya Siasa katika maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya Demokrasia Duniani iliyofanyika leo tarehe 15 Septemba, 2021 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo (kama kiashiria cha Ushindi wa Mwanamke Mtanzania) kutoka kwa Mwenyekiti wa Azaki ya Tanzania Women Cross-Party Platform/ULINGO Mama Anna Abdallah kabla ya kuhutubia katika siku ya maadhimisho ya Kimataifa ya Demokrasia Duniani iliyofanyika leo tarehe 15 Septemba, 2021 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.

PICHA NA IKULU