Home Michezo YANGA SC YAZINDUA JEZI NNE MPYA ZA MSIMU WA 2021/22

YANGA SC YAZINDUA JEZI NNE MPYA ZA MSIMU WA 2021/22

0

KIUNGO wa Yanga, Feisal Salum Abdallah akionyesha jezi mpya ya nyumbani ya timu hiyo msimu ujao ambayo zimezinduliwa leo ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam

Beki wa Yanga, Dickson Nickson Job akionyesha jezi mpya ya ugenini ya timu hiyo msimu ujao ambayo zimezinduliwa leo ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam

Beki mpya Mkongo wa Yanga, Yannick Bangala Litombo akionyesha jezi mpya ya tatu ya timu hiyo msimu ujao ambayo zimezinduliwa leo ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam

 

Viongozi wa Yanga wakionyesha jezi mpya za timu hiyo msimu ujao ambazo zimezinduliwa leo ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam