Home Michezo SPURS YASAJILI BEKI KUTOKA ATALANTA YA ITALIA

SPURS YASAJILI BEKI KUTOKA ATALANTA YA ITALIA

0

KLABU ya Tottenham imemsajili beki  Muargentina, Cristian Romero kwa ada ya Pauni Milioni  47 kutoka Atalanta, beki huyo bora wa msimu uliopita wa Serie A amekabidhiwa jezi namba nne