Home Burudani NAIBU WAZIRI GEKUL AFANYA ZIARA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA TAIFA (TBC)

NAIBU WAZIRI GEKUL AFANYA ZIARA SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA TAIFA (TBC)

0

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (kulia) akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) Barabara ya  Nyerere akiwa katika ziara ya kikazi kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Idhaa ya TBC Taifa, Shida Massamba kulia akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (wa pili toka kushoto) wakati Naibu Waziri huyo akiwa katika ziara ya kikazi kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa na wa pili toka kulia ni Mkurugenzi wa Huduma za Radio toka Shirika la Taifa la Utangazaji (TBC), Aisha Dachi na katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo Dkt. Ayoub Rioba.

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Dkt. Ayoub Rioba (kushoto) akifafanua jambo kwa  Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul wakati Naibu Waziri huyo akiwa katika ziara ya kikazi kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (katikati) akipiga ngoma wakati akiwa katika ziara ya kikazi katika Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC)  kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam, toka kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa na Mkurugenzi wa Huduma za Radio toka Shirika hilo Aisha Dachi na toka kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa shirika hilo Bi. Dafroza Kimbori na Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo Dkt. Ayoub Rioba.

 Mkurugenzi wa Huduma za Radio toka Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Aisha Dachi (kulia) akifafanua jambo kwa  Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (katikati) wakati Naibu Waziri huyo akiwa katika ziara ya kikazi kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo Dkt. Ayoub Rioba.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (katikati) akitembelea maeneo mbalimbali ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), wakati Naibu Waziri huyo akiwa katika ziara ya kikazi kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo Dkt. Ayoub Rioba na kushoto ni Meneja wa Idara ya Ufundi toka Shirika hilo Mhandisi Constance Muhindi.

Mhariri wa vipindi vya luninga toka Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC1), Anna Mwasyoke (kushoto) akifafanua jambo kwa  Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (kulia) wakati Naibu Waziri huyo akiwa katika ziara ya kikazi kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam, katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo Dkt. Ayoub Rioba.

Meneja wa Idara ya Ufundi toka Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Mhandisi Constance Muhindi (kulia) akifafanua akifafanua jambo kwa  Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (katikati) wakati Naibu Waziri huyo akiwa katika ziara ya kikazi kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo Dkt. Ayoub Rioba.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (katikati) akitembelea maeneo mbalimbali ya Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), wakati Naibu Waziri huyo akiwa katika ziara ya kikazi kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo Dkt. Ayoub Rioba na kushoto ni Meneja wa Idara ya Ufundi toka Shirika hilo Mhandisi Constance Muhindi.

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (kushoto) akisisitiza jambo kwa wajumbe wa Menejimenti ya Shirika la Utangazaji la Taifa (hawapo pichani) wakati Naibu Waziri huyo akiwa katika ziara ya kikazi kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam, katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo Dkt. Ayoub Rioba na kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa.

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC),  Dkt. Ayoub Rioba akifafanua jambo kwa wajumbe wa Menejimenti ya Shirika la Taifa la Utangazaji (hawapo pichani) wakati Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (kushoto) alipotembelea shirika hilo kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akisisitiza jambo kwa wajumbe wa Menejimenti ya Shirika la Taifa la Utangazaji (hawapo pichani) wakati Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul (kushoto) alipotembelea shirika hilo kwa lengo la kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na shirika hilo jana Julai 23 jijini Dar es Salaam, katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo Dkt. Ayoub Rioba.

Picha na WHUSM – Dar es Salaam.