Home Mchanganyiko RAIS DK.MWINYI AKABIDHIWA RIPOTI YA UCHANGUZI MKUU WA ZANZIBAR IKULU LEO

RAIS DK.MWINYI AKABIDHIWA RIPOTI YA UCHANGUZI MKUU WA ZANZIBAR IKULU LEO

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Tume ya Uchanguzi Zanzibar Jaji Mstaaf Mhe.Hamid Mahmoud, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo  Mhe. Jaji Mstaaf Mhe. Hamid Mahmoud (kulia kwa Rais)  walipofika Ikulu Jijni Zanzibar kukabidhi Ripoti ya Uchaguzi Mku wa Zanzibar ulifanyika Oktoba,28, 2020. mwaka jana.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe. Jaji Mstaaf Hamid Mahmoud.(hayupo pichani) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe.Jaji Mstaaf Hamid Mahmoud,(kulia kwa Rais)  akiwasilisha Ripoti ya Uchanguzi Mkuu wa Zanzibar uliofanyika mwaka jana Oktoba 28,2020, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)