Home Mchanganyiko HAYA HAPA MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA SITA YATANGAZWA

HAYA HAPA MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA SITA YATANGAZWA

0
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt Charles Msonde ametangaza matokeo ya Mitihani ya Kidato cha Sita na Ualimu yaliyofanyika Mei 2021. Matokeo hayo yametangaziwa Zanzibar.

 
1.MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) 2021

2.MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (DSEE) 2021

3.MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (GATCE) 2021

4.MATOKEO YA MTIHANI WA UALIMU (GATSCCE) 2021