Home Mchanganyiko ZIARA YA RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI WILAYA MAGHARIBI”B” UNGUJA.

ZIARA YA RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI WILAYA MAGHARIBI”B” UNGUJA.

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  (kushoto) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Mgharibi Mhe.Idrisa Kitwna Mustafa wakati  alipotembelea Mradi  wa  ujenzi wa Matangi ya Maji wa Exim Banki  akiwa katika ziara yake Wilaya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magaharibi [Picha na Iklulu] 09/07 2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  (kushoto) alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipotembelea Mradi  wa  ujenzi wa matangi ya maji wa Exim Banki   akiwa katika ziara yake Wilaya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magaharibi [Picha na Iklulu] 09/07 2021.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji safi na Salama ZAWA Dk.Salha Mohamed Kassim (katikati) akitoa maelezo  kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi ( hayupo pichani) wakati alipotembelea  Mradi wa  ujenzi wa Matangi ya Maji wa Exim Banki  akiendelea na Ziara yake katika Wilaya ya Magaharibi”B” Mkoa wa Mjini Magharibi .[Picha na Iklulu] 09/07 2021.