Home Mchanganyiko MANAIBU KATIBU WAKUU NISHATI NA VIWANDA WATEMBELEA BANDA LA TANESCO

MANAIBU KATIBU WAKUU NISHATI NA VIWANDA WATEMBELEA BANDA LA TANESCO

0

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Kheri A. Mahimbali na  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah wakimsikiliza Mwanji Mbaka Mhandisi Mjenzi Mradi wa Julius Nyerere (JNHPP) wakati alipokuwa akiwaelezea maendeleo ya ujenzi wa mradi huo katika maonesho ya  45 ya Biashara ya Kimataifa  ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere  Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo

Mmoja wa wataalamu wa Kampuni ya Uendelezaji Joto Ardhi Tanzania (TGDC) akiwaelezea Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Kheri A. Mahimbali kushoto  na  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah jinsi mradi huo utakavyotekelezwa.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Kheri A. Mahimbali kushoto akiuliza swali kwa mtaalam huyo huku Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah akisikiliza wakati viongozi hao walipotembelea banda la TANESCO.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Kheri A. Mahimbali na  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah wakisikiliza maelezo ya Jensen Mhavile Meneja Mipango wa REA wakati walipotembelea banda la Rea katika maonesho ya  45 ya Biashara ya Kimataifa  ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere  Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Kheri A. Mahimbali na  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah wakiangalia moja ya Transfoma zinazotumika katika mradi wa usambazaji wa umeme vijijini REA  wakati viongozi hao walipotembelea katika maonesho ya  45 ya Biashara ya Kimataifa  ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere  Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Kheri A. Mahimbali na  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dkt. Hashil T. Abdallah wakiangalia Panel za Sola wakati walipotembelea banda la REA katika maonesho ya  45 ya Biashara ya Kimataifa  ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere  Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam leo,