Home Mchanganyiko ZIARA YA RAIS DKT.MWINYI WILAYA KUSINI UNGUJA

ZIARA YA RAIS DKT.MWINYI WILAYA KUSINI UNGUJA

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi   alipokuwa akisisitiza jambo wakati alipotembelea Mashine ya Maji Mtule katika mradi wa Maji Kijiji cha Kitogani Muungoni akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali  ya maendeleo Wilaya ya Kusini Unguja leo.[Picha na Iklulu] 03Julai 2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi   (kulia) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Kusini Mhe.Rashid Makame Shamsi   alipotembelea Skuli ya Sekondari ya Mtule akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja leo.[Picha na Iklulu] 03Julai 2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi   (katikati) alipofuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid  Rashid (kushoto) na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali pia Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Mhe.Simai Mohamed  Said wakati    alipotembelea Skuli ya Sekondari ya Mtule akiwa katika ziara ya kutembelea miradi mbali mbali Wilaya ya Kusini Unguja leo.[Picha na Iklulu] 03Julai 2021.