Home Mchanganyiko NAIBU WAZIRI MABULA ATEMBELEA BANDA LA TET KWENYE MAONESHO YA SABASABA

NAIBU WAZIRI MABULA ATEMBELEA BANDA LA TET KWENYE MAONESHO YA SABASABA

0

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angeline Mabula akipata maelezo toka kwa maofisa wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kuhusiana na kazi zinazofanywa kwenye maonesho ya 45 Biashara ya Kimataifa yanayondelea katika viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es salaam.

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angeline Mabula akisaini  kitabu cha wageni mara baada ya kutembelea banda la Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwenye maonesho ya 45 Biashara ya Kimataifa yanayondelea katika viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es salaam.

Maofisa wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) wakiwa tayari kwa kuwahudumia wananchi kwenye maonesho ya 45 Biashara ya Kimataifa yanayondelea katika viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es salaam.

Wananchi wakipata maelekezo kutoka kwa maofisa wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kuhusiana na kazi zinazofanywa kwenye maonesho ya 45 Biashara ya Kimataifa yanayondelea katika viwanja vya Sabasaba Jijini Dar es salaam.