Home Mchanganyiko MHE. RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI NCHINI

MHE. RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI NCHINI

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari kuhusu siku 100 tangu kuingia Madarakani, leo Juni 28,2021 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam.