Home Mchanganyiko RAIS MHE. SAMIA SULUHU AZUNGUMZA KWA NJIA YA SIMU NA RAIS WA...

RAIS MHE. SAMIA SULUHU AZUNGUMZA KWA NJIA YA SIMU NA RAIS WA CHINA XI JINPING OFISINI KWAKE IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA LEO TAREHE 21 JUNI, 2021.

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya Simu na Rais wa China Xi Jinping Ofisini kwake Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 21 Juni, 2021. PICHA NA IKULU