Home Burudani WANACHUO WATAKIWA KUSHIRIKI KATIKA MATAMSHA YA SANAA KUONESHA VIPAJI VYAO

WANACHUO WATAKIWA KUSHIRIKI KATIKA MATAMSHA YA SANAA KUONESHA VIPAJI VYAO

0

Naibu makamu mkuu-TAALUMA wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Prof.Boniventure Rutinwa akiangalia baadhi ya kazi za sanaa zilizofanywa na baadhi ya wanafunzi wa Chuo  kikuu cha Dar es Salaam katika Tamasha la nne la sanaa blast festival linaratibiwa na Ndaki ya insia idara ya sanaa bunifu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Baadhi ya wanafunzi katika sekta ya sanaa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wakionesha vipaji vyao katika Tamasha la nne la sanaa blast festival linaratibiwa na Ndaki ya insia idara ya sanaa bunifu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Naibu makamu mkuu-TAALUMA wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Prof.Boniventure Rutinwa (katikati) akiwa katika Tamasha la nne la sanaa blast festival linaratibiwa na Ndaki ya insia idara ya sanaa bunifu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Naibu makamu mkuu-TAALUMA wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Prof.Boniventure Rutinwa akitoa vyeti kwa washindi waliofanya vizuri kwenye tasnia ya sanaa katika Tamasha la nne la sanaa blast festival linaratibiwa na Ndaki ya insia idara ya sanaa bunifu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Naibu makamu mkuu-TAALUMA wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Prof.Boniventure Rutinwa akizungumza katika Tamasha la nne la sanaa blast festival linaratibiwa na Ndaki ya insia idara ya sanaa bunifu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Rasi wa ndaki ya insia Dkt. Rose Upor akizungumza katika Tamasha la nne la sanaa blast festival linaratibiwa na Ndaki ya insia idara ya sanaa bunifu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Mudiri, idara ya sanaa za ubunifu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dkt. Kedmon Mapana akizungumza katika Tamasha la nne la sanaa blast festival linaratibiwa na Ndaki ya insia idara ya sanaa bunifu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Wadau mbalimbali wa sanaa wakiwa katika katika Tamasha la nne la sanaa blast festival linaratibiwa na Ndaki ya insia idara ya sanaa bunifu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Naibu makamu mkuu-TAALUMA wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Prof.Boniventure Rutinwa akipata picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi washindi waliofanya vizuri katika tasnia ya sanaa katika Tamasha la nne la sanaa blast festival linaratibiwa na Ndaki ya insia idara ya sanaa bunifu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Naibu makamu mkuu-TAALUMA wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Prof.Boniventure Rutinwa akipata picha ya pamoja viongozi na wadau wa sanaa Chuo Kikuu cha Dar e Salaam katika Tamasha la nne la sanaa blast festival linaratibiwa na Ndaki ya insia idara ya sanaa bunifu ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)

*********************

Naibu makamu mkuu-TAALUMA wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Prof.Boniventure Rutinwa amewataka wanachuo kujitokeza kushiriki kwenye matamasha mbalimbali ya sanaa ili kuonyesha vipaji vyao na kupata fursa ya kukua zaidi kwakuwa sanaa hivi sasa ni uchumi.

Wito huo ameutoa chuoni hapo kwenye Tamasha la nne la sanaa blast festival linaratibiwa na Ndaki ya insia idara ya sanaa bunifu ya UDSM ambapo amebainsha kuwa tamasha hilo ni sehemu ya mradi wa kukuza taaluma katika tasnia mbalimbali pia ni fursa ya kukuza vipaji ambavyo huwa mbadala wa ajila katika kujiingizia kipato.

Kwa upande wake Rasi wa ndaki ya insia Dkt. Rose Upor amesema Sanaa blast festival ni tamasha endelevu na kila mwaka litafanyika ili kuendelea kuonyesha na kuibua vipaji vya Wanafunzi. Pia katika Tamasha hilo hutoa Tuzo kwa wanafunzi waliofanya vizuri Idara mbalimbali ikiwemo muziki,uchoraji,uigizaji, na Darasani.

Mmoja wa wanafunzi walioshiriki Tamasha Bi.Dotto Botea amesema sanaa blast limeibua vipaji vya wanafunzi wengi na kulitangaza chuo kikuu cha mlimani na kila mwaka tamaaha hilo limeendelea kukua na kuwa la kipekee zaidi.