Home Michezo FURAHIKA EDUCATION YAKABIDHI MIPIRA KWA SHULE ZA SEKONDARI KWA AJILI YA UMISETA

FURAHIKA EDUCATION YAKABIDHI MIPIRA KWA SHULE ZA SEKONDARI KWA AJILI YA UMISETA

0

**********************

Leo shule mbalimbali za Sekondari nchini, zimekabidhiwa mipira kwa ajili ya michuano ya UMISETA.

Kaimu Mkurugenzi wa FURAHIKA Education Organization, David Msuya, amekabidhi mipira hiyo, tayari michuano hiyo kuanza.

Makabidhiano yamefanyika katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam.