Home Michezo KLABU YA YANGA YAWEKA HADHARANI TAREHE YA MKUTANO MKUU

KLABU YA YANGA YAWEKA HADHARANI TAREHE YA MKUTANO MKUU

0

Klabu ya Yanga imetangaza tarehe ya kufanyika kwa mkutano mkuu wa klabu hiyo, taarifa hiyo iliyotolewa leo imeeleza kuwa mkutano huo utafanyika Juni 27, 2021.

Taarifa hiyo ya tarehe ya Mkutano Mkuu imetolewa na Mwenyekiti wa klabu hiyo Dkt. Mshindo Msolla.