Home Mchanganyiko MWANYIKA AIBANA SERIKALI BUNGENI NI LINI TATIZO LA UMEME NJOMBE MJINI LITAISHA

MWANYIKA AIBANA SERIKALI BUNGENI NI LINI TATIZO LA UMEME NJOMBE MJINI LITAISHA

0


Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameibana serikali kwa kuhoji
ni lini
vijiji 20 jimboni humo vitaingizwa kwenye mpango wa
kuwekewa umeme wa REA na tatizo la ukatikaji wa mara kwa mara wa umeme
utaisha?

Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Mwanyika akihoji wakati wa maswali na majibu bungeni Dodoma pamoja na majibu kutoka Wizara ya Nishati.