Home Mchanganyiko RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI...

RAIS WA ZANZIBAR ALHAJ DK.HUSSEIN ALI MWINYI AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAM KATIKA SALA YA TARAWEKH NA ISHA KATIKA MASJID SAHAR KWARARA .

0

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Ibada ya Sala ya Tarawekh, ikiongozwa na Ust. Abdulsalam Juma iliyofanyika katika Masjid Sahar Kwarara  Wilaya ya Magharibi B Unguja, ikiwa ni muendelea wa Ibada ya Sala ya Tarawekh baada ya kumalizika kwa  Sala ya Isha katika kipindi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

BAADHI ya Watoto wakiwa katika viwanja vya Masjid Sahar Kwarara  baada ya kumaliza Ibada ya Sala ya Tarawekh wakimshangilia na kumsalimia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiondoka katika viwanja vya msikiti wa Masjid Sahar Kwarara jana usiku 20-4-2021.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wananchi wa Kwarara wakati akiondoka katika viwanja vya Masjid Sahar Kwarara Wilaya ya Magharibi B Unguja, baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh iliofanyika katika Masjid hiyo jana usiku 20-4-2021.(Picha na Ikulu)

WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa Sala ya Tarawekh, iliofanyika katika Masjid Sahar Kwarere Wilaya ya Magharibi  B Unguja, ikisomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Khalid Ali Mfaume.(hayupo pichani) (Picha na Ikulu)