Home Mchanganyiko WAZIRI MKUU AKAGUA KITUO KIKUU CHA RELI YA MWENDO KASI (TANZANITE)

WAZIRI MKUU AKAGUA KITUO KIKUU CHA RELI YA MWENDO KASI (TANZANITE)

0

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akioneshwa picha iliyotengenezwa kwa mawe maalum kwenye ukuta wa mapokezi katika kituo kikuu cha reli ya mwendo kasi (Tanzanite) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, wakati alipokagua kituo hicho Aprili 20, 2021, jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akioneshwa mashine za kielektroniki za tiketi katika kituo kikuu cha reli ya mwendo kasi (Tanzanite) na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, wakati alipokagua kituo hicho Aprili 20, 2021, jijini Dar es salaam. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa, wakati alipokagua kituo kikuu cha reli ya mwendo kasi (Tanzanite) , jijini Dar es salaam Aprili 20, 2021.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)