Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, leo tarehe 19 April 2021 amehudhuria katika Hafla ya kuapishwa kwa Malozi Yusuf Tindi Mndolwa Ikulu Chamwino.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Katanga walipokuwa katika Hafla ya kuapishwa Balozi Yusuf Mndolwa Ikulu Chamwino leo tarehe 10 April 2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Yusuf Tindi Mndolwa kuwa Balozi Ikulu Chamwino leo April 19,2021.