Wahitimu wa Shahada ya Sayansi ya Kijeshi (Bachelor Degree in
Milityary Science – BMS) wakiwa tayari kutunukiwa shahada zao na Rais
wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe Samia
Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Jumamosi
April 17, 2021. Shahada hizo zimetunukiwa kwa mara ya kwanza nchini na
Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwa kushirikiana na Chuo cha Mafunzo ya
Kijeshi Tanzania Military Academy – TMA) cha Monduli mkoani Arusha.
Awali. Wahitimu hao ambao pia ni Maafisa wanafunzi awali walitunukiwa
Kamisheni na Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe Samia Suluhu Hassan hapo
hapo uwanjani katika sherehe iliyohudhuriwa pia na Makamu wa Rais Dkt.
Philip Mpango, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano Mhe. Job Ndugai na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson
pamoja na Mawaziri, Viongozi waandamizi Serikalini na uongozi wa juu
wa JWTZ ukiongozwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe
Samia Suluhu Hassan akielekea kuwatunuku Wahitimu wa Shahada ya
Sayansi ya Kijeshi (Bachelor Degree in Milityary Science – BMS) akiwa
ameongozana na Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Profesa Eliamani
Sedoyeka na Mkuu wa Chuo cha mafunzo ya Kijeshi Monduli Brigedia
jenerali Jackson Mwaseba katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani
Dodoma Jumamosi April 17, 2021. Shahada hizo zimetunukiwa kwa mara ya
kwanza nchini na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwa kushirikiana na
Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Tanzania Military Academy – TMA) cha
Monduli mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu MheS amia Suluhu Hassan akimpa zawadi Luteni Ussu Happyness Muusa ambayen i mmoja ya Wahitimu waliofanya vizuri kwenye taaluma walipokuwaw akisomea Shahada ya Sayansi ya Kijeshi (Bachelor Degree in Milityary Science – BMS) katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani DodomaJ umamosi April 17, 2021. Shahada hizo zimetunukiwa kwa mara ya kwanza nchini na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwa kushirikiana na Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Tanzania Military Academy – TMA) cha Monduli mkoani Arusha.
Wahitimu wa Shahada ya Sayansi ya Kijeshi (Bachelor
Degree in Milityary Science – BMS) wakiwa katika picha ya kumbukumbu
baada ya kutunukiwa shahada zao na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya
Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe Samia Suluhu Hassan katika viwanja
vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Jumamosi April 17, 2021. Shahada hizo
zimetunukiwa kwa mara ya kwanza nchini na Chuo cha Uhasibu Arusha
(IAA) kwa kushirikiana na Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Tanzania
Military Academy – TMA) cha Monduli mkoani Arusha. Awali. Wahitimu hao
ambao pia ni Maafisa wanafunzi walitunukiwa Kamisheni na Rais na Amiri
Jeshi Mkuu Mhe Samia Suluhu Hassan hapo hapo uwanjani katika sherehe
iliyohudhuriwa pia na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu
Mhe. Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe. Job
Ndugai na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson pamoja na Mawaziri, Viongozi
waandamizi Serikalini na uongozi wa juu wa JWTZ ukiongozwa na Mkuu wa
Majeshi Jenerali Venance Mabeyo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Wahitimu wa Shahada ya Sayansi ya Kijeshi (Bachelor Degree in Milityary Science – BMS) ambao pia ni Maafisa wanafunzi ambao awali walipewa Kamisheni katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Jumamosi April 17, 2021. Shahada hizo zimetunukiwa kwa mara ya kwanza nchini na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwa kushirikiana na Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Tanzania Military Academy – TMA) cha Monduli mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe
Samia Suluhu Hassan akiunda Mahafali ya Kwanza ya Shahada ya Sayansi
ya Kijeshi (Bachelor Degree in Milityary Science – BMS) kabla ya
kuwatunuku shahada wahitimu 143 ambao pia ni Maafisa wanafunzi ambao
awali aliwapa Kamisheni katika viwanja hivyo vya Ikulu Chamwino
mkoani Dodoma Jumamosi April 17, 2021. Shahada hizo zimetunukiwa kwa
mara ya kwanza nchini na Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kwa
kushirikiana na Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Tanzania Military Academy
– TMA) cha Monduli mkoani Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe
Samia Suluhu Hassan akiwa tayari kuwatunuku Wahitimu wa Shahada ya
Sayansi ya Kijeshi (Bachelor Degree in Milityary Science – BMS) ambao
pia ni Maafisa wanafunzi ambao awali aliwapa Kamisheni katika viwanja
vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Jumamosi April 17, 2021. Shahada hizo
zimetunukiwa kwa mara ya kwanza nchini na Chuo cha Uhasibu Arusha
(IAA) kwa kushirikiana na Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Tanzania
Military Academy – TMA) cha Monduli mkoani Arusha
Gwaride lililoundwa na Maafisa wanafunzi wakati Rais wa jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe Samia Suluhu Hassan
alipowatunuku kamisheni kwenye viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani
Dodoma Jumamosi Aprili 17, 2021
Maafisa wanafunzi wakila kiapo cha utii mbele
ya Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe
Samia Suluhu Hassan baada ya kuwatunuku kamisheni kwenye viwanja vya
Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Jumamosi Aprili 17, 2021
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe
Samia Suluhu Hassan akiwa jukwaa kuu wakati wa sherehe ya kuwatunuku
Kamisheni Maafisa wanafunzi kwenye viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani
Dodoma Jumamosi Aprili 17, 2021
Wanamuziki wa Bendi ya muziki ya JKT Makutopora wakitumbuiza
wakati wa sherehe hizo
Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango
(kati) akiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Husseinj Athumani Kattanga
(kushoto) na Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo wakati Mahafali
ya Kwanza ya kuwatunuku Shahada ya Sayansi ya Kijeshi wahitimu 143 wa
Jeshi la Wananchi wa Tanzania ambao awali walitunukiwa Kamisheni na
Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe Samia
Suluhu Hassan kwenye viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Jumamosi
Aprili 17, 2021
PICHA NA IKULU