Home Mchanganyiko MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA MAKAMO WA RAIS NA GAVANA...

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA MAKAMO WA RAIS NA GAVANA WA BOT

0

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan  amekutana na kufanya mazungumzo na Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Mhe.Prof .Florens Luoga ,Ikulu jijini Dodoma leo Tarehe 16 April 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan  akiagana na  Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Mhe.Prof .Florens Luoga  mara baada ya mazungumzo yao ,Ikulu jijini Dodoma leo Tarehe 16 April 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan  akiwa katika Picha ya Pamoja  na  Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Mhe.Prof .Florens Luoga  mara baada ya mazungumzo yao ,Ikulu jijini Dodoma leo Tarehe 16 April 2021

Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Mhe.Prof .Florens Luoga ,wakiondoka mara baada ya kumaliza mazungumzo na Mhe Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu jijini Dodoma leo Tarehe 16 April 2021