Home Michezo REAL MADRID YAITUPA NJE LIVERPOOL LIGI YA MABINGWA

REAL MADRID YAITUPA NJE LIVERPOOL LIGI YA MABINGWA

0

TIMU ya Real Madrid imetinga Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya sare ya 0-0 na wenyeji, Liverpool usiku wa jana Uwanja wa Anfield.
Real inasonga mbele kwa ushindi wa 3-1 iliyovuna kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita Hispania na sasa watamenya na Chelsea ya England iliyoitoa FC Porto ya Ureno.