Home Michezo CHIKWENDE ASAINI SIMBA

CHIKWENDE ASAINI SIMBA

0

*******************************************

NA EMMANUEL MBATILO

Klabu ya Simba imefanikiwa kuinasa saini ya Mshambuliaji wa klabu ya Fc Platinum ya nchini Zimbabwe Perfect Chikwende.

Chikwende  aliwahi kuchezea timu ya Bulawayo Chiefs. hivyo kwa uwezo aliouonesha hivi karibuni kwenye mechi kadhaa pamoja na ile ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba uongozi wa Sim ba ukaamua kumsajili licha ya upinzani mkali kuwepo kutoka kwa wapinzani wao Yanga na Azam kuonesha nia ya kumuhitaji nyota huyo.