Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo Januari 10,2021 ameshiriki kwenye Hafla ya kupokezi ya Maandamano ya Miaka 57 ya Mapinduzi Matukufu Zanzibar katika Uwanja wa Mao tsung mjini Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na viongozi wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Ikulu Chamwino,…
Kuna wakati katika uongozi wa nchi ambapo nguvu ya kiongozi haipimwi kwa wingi wa maneno anayoyasema, bali kwa ukubwa wa maono anayoyaacha yakitekelezwa. Hivi…